Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Pambano alijaanza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambano la Mwakinyo halitokua tofauti sana na hilo la Tony!Kila la kheri Mwakinyo.
Maana ukipigwa mzee na watanzania kwa sasa wapo kwa mdomo wako ila ukishinda wataendelea kuwa kimya.
Yeye (Mwakinyo)huwa hatoi ushirikiano kwa wenzake ndio maana wamemtenga.Pambano limepooza watu si wengi.
Kwani lishaanza?Mwakinyo kaletewa mlevi tu hapa wala hakuna bondia humu
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Duh tupe vp lkn unayoona apo kwa tathmini yako mkuu mana wengine tuko mbali,, mdigo atachezea au
NdioooooKwani lishaanza?
Anajifanya Mayweather wa bongo.Kila la kheri Mwakinyo.
Maana ukipigwa mzee na watanzania kwa sasa wapo kwa mdomo wako ila ukishinda wataendelea kuwa kimya.
Hahhhhhhhhhhhhh tuliza ballDuh tupe vp lkn unayoona apo kwa tathmini yako mkuu mana wengine tuko mbali,, mdigo atachezea au
Akichezea itakuwa kheriiiDuh tupe vp lkn unayoona apo kwa tathmini yako mkuu mana wengine tuko mbali,, mdigo atachezea au
Poa,, tupeni yanayojiriNdiooooo
Atashinda mwakinyo 100%Duh tupe vp lkn unayoona apo kwa tathmini yako mkuu mana wengine tuko mbali,, mdigo atachezea au