Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Mwakinyo amshinda Mnamibia, Tony Rashid apoteza mkanda kwa Msauzi

Hongera sana kwa boxers wa Tanzania Mwakinyo na Tony Rashid. Wanafanya mazoezi sana na wapo na nidhamu ya hali ya juu. Congratulations to Hassan Mwakinyo, you are truly an East African hero. Ushauri ambao ningependa kuwapa makocha wao ni kuwa wawape mafunzo mabondia wetu ya jinsi ya kutumia upper cut. Tony alipoteza ramani katika pambano ambalo angeshinda kwa pointi, baada ya kupigwa upper cut ya nguvu. Otherwise Tanzania inazidi kunyanyuka katika soccer na boxing kwa sababu ya kuwa na wadau wazalendo. Hongera azam tv, hongera na wadau wengine wa michezo. Cheers!
 
Back
Top Bottom