ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,

- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025