Shida inayomsumbua mwakinyo ni ulimbukeni na ujeuri ndani yake mala nyingi amekuwa ni mtu ambaye anapatikana na makosa ya upigaji watu nakumbuka nilishafika katika hotel yake ya kuuza chakula nikasikia amempoga mtu mzima ambaye anaweza kumzaa kabisa na hiyo kesi ikaishia kifamilia na amekuwa na matukio mengi ya kufanana na hyo mbele ya majiran zake na watu wanaomzungula hii inepelekea kuchukiwa kabisa katika maeneo analoishi asipo jilekebisha kuna jambo baya linaweza kumkuta na kumpoteza kwenye ramani kabisa asije sahau ngoma ikuvuma sana hupasuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.