kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tanga ina historia ya mabondia kweli kweli kuliko mwakinyo..Haji pera..Hassani mzonge..fadhili keya..Bakari mambeya..marehemu Magoma shabani..Mohammedi Maqubel..bonzo mohammed..Kamote ..Hamisi mwakinyo saidi mundi wote hao hatukuwahi sikia wamefanya vituko wala kupiga watu.. tanga ni mji wenye amani watu wanaishi kindugu sana...hatujui undani sababu tumesikia upande mmoja subiri usikie utetezi wa mwakinyo usiishi kwa dhana kama ndugu yako ndio aliyetendewa vile ungependa kwa kua tu ni boksa anayetetea maslahi yake..hakuna mwenye chuki na mwakinyo wakazi wa tanga wanampenda sana boksa wao wana chuki na tabia zake!Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Pole Mwakinyo Kwa kuzaliwa Tanzania nchi yenye mazwazwa wengi watu wenye wivu na mafanikio ya watu. hapa ndo Tanzania ukidai haki zako wanakutia mjuaji na utatafutiwa namna ya kupotezwa
- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,