Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Hakuna mtu anapenda hayo maisha ya kukaa kwenye Nyumba mbovu ni umasikiniKwenye lile gofu kuna utulivu na amani kuliko palm village ambapoview banda la mpesa na bodaboda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mtu anapenda hayo maisha ya kukaa kwenye Nyumba mbovu ni umasikiniKwenye lile gofu kuna utulivu na amani kuliko palm village ambapoview banda la mpesa na bodaboda.
Mwakinyo anaponzwa na utanga uliotawaliwa na uswahili mwingi. Nilijuwa asingefika popote.Mtoa mada unaishi wapi? Isije kuwa unaishi Namtumbo afu unajikuta unajua mambo ya Tanga huko
NdumbaMwakinyo anaponzwa na utanga uliotawaliwa na uswahili mwingi. Nilijuwa asingefika popote.
Hakufanya measurements & evaluation.... otherwise alikua kavuta bange.Hakuna bondia alliyependwa kwa muda mfupi jijini Tanga toka enzi za akina Bakari Mambeya kama Mwakinyo,kwa bahati mbaya amezingua mwenyewe baada ya kuendekeza ubabe pori.Ungefanya utafiti japo kidogo wa jambo unalojaribu kulitetea
Umeandika takataka nyingiNampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Pole Mwakinyo Kwa kuzaliwa Tanzania nchi yenye mazwazwa wengi watu wenye wivu na mafanikio ya watu. hapa ndo Tanzania ukidai haki zako wanakutia mjuaji na utatafutiwa namna ya kupotezwa
- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,
Mtu professional anaongea chochote kinachomjia mdomoni??? Huyo ni mwehu tu.Ndumba
ShrikiUnakuwa bondia mkubwa
Unaenda kukaa kijijini na kugombania Nazi
Kitu gani kinamfanya anaishi maporini katika maghofu?
Mabondia wengi hawana nidhamu ya maisha, kama alimkuta anaokota Nazi kwenye eneo lake yeye akiwa kama MTU maarufu si ndoangeonesha mfano wakufuata sheriaNampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Pole Mwakinyo Kwa kuzaliwa Tanzania nchi yenye mazwazwa wengi watu wenye wivu na mafanikio ya watu. hapa ndo Tanzania ukidai haki zako wanakutia mjuaji na utatafutiwa namna ya kupotezwa
- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,
tafuta kazi ufanye mkuu. Hakuna namna mwakinyo atakuja kusoma hapa ili akupe chochoteNampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania
Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa
Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma
Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina maslahi kidogo
Kuna mabondia wanakufa wakipigania malipo ya elfu 60
Soma Pia:
Pole Mwakinyo Kwa kuzaliwa Tanzania nchi yenye mazwazwa wengi watu wenye wivu na mafanikio ya watu. hapa ndo Tanzania ukidai haki zako wanakutia mjuaji na utatafutiwa namna ya kupotezwa
- Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga
- Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Umemthibiti kibaka aliyeingia getini bila taarifa wanasema eti alikuwa anaokota Nazi, yaani umeangushia gunia la misumari kwamba wewe ni katiri na muuaji vip walitaka huyo mwizi akuuwe wewe
Nasikia adhabu ya kifungo miaka 7 ndo inafuata ili ukae huko unyooke
Pole Mwakinyo,
HeheheWe ni mgeni hapa Tanganyika?
HeheheUnakuwa bondia mkubwa