Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Umri umeshaenda tatizo.Yes, halafu ana skills, akipata mwalimu mzuri ni bonge la bondia
Yaani hizi ni dalili mbaya. Mwakinyo juhudi zake ndo zimefanya ngumi kujulikana Tanzania.
Hii kitu imewekwa siri. Maana bongo kelele nyingi. Utasikia ooohh jamaa kapunjwa!
Amejitahidi sana kwa kweli.Big up sana kwa promota Jumanne Msangi!
Nimependa kwa kweli.
BadoWashaanza kutiana Vitasa
Alafu nasikia ili pambano ni la kutengeneza, unaambiwa huyo mfilipino alikuja kwa lengo la kutalii utalii wa ndani. Muandaaji wa pambano hilo kapiga pesa ndefu sana.
Hapo umpate mtu kama Michael Buffer lazima ufurahi na roho yako.Huyuuuu MC wamemtoa Wapiii Hawezi hata kuamsha amshaa anatetemekaaa tuuuu!!!
Kalipooza Shindanooooooo na DJ sijui Wa Wapiii Huyuuuuu
Shindano Lazima liwe na Amsha Amshaa
MC kafeliiii
Nini shida! Au anataka mzigo wake kabisa?Mfilipino anataka kugoma kupiganaa [emoji3]
Tatizo wamezoea kutangaza mpiraHili pambano linaonyesha pengo la wazi la Kibonde kwenye eneo la uemcii.
Ngoja tuone.Utabiri wangu; Mwakinyo atashinda via Unanimous Decision