Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Alafu nasikia ili pambano ni la kutengeneza, unaambiwa huyo mfilipino alikuja kwa lengo la kutalii utalii wa ndani. Muandaaji wa pambano hilo kapiga pesa ndefu sana.
Hii kitu imewekwa siri. Maana bongo kelele nyingi. Utasikia ooohh jamaa kapunjwa!
 
Picha ya Magu imeshatia gundu tayari! ... Mwakinyo anapigwaaa daadek [emoji38]
 
Mimi ni shabiki wa Mfaume Mfaume toka kitambo, huyu jamaa ni mzuri, timing yake ni poa sana, namtabiria atafika mbali, Twaha Kiduku nae akiendelea na nidhamu atafika mbali.
 
Bongo kuna mambo sana.ila kwa sasa ngoja tuone pambano.soon round ya 1 inaanza
Alafu nasikia ili pambano ni la kutengeneza, unaambiwa huyo mfilipino alikuja kwa lengo la kutalii utalii wa ndani. Muandaaji wa pambano hilo kapiga pesa ndefu sana.
 
Huyuuuu MC wamemtoa Wapiii Hawezi hata kuamsha amshaa anatetemekaaa tuuuu!!!

Kalipooza Shindanooooooo na DJ sijui Wa Wapiii Huyuuuuu

Shindano Lazima liwe na Amsha Amshaa

MC kafeliiii
Hapo umpate mtu kama Michael Buffer lazima ufurahi na roho yako.
 
Kinachonifurahisha watu wanabwenga vitu humuhumu ka double kick zipo kwa vipi.Wana wapo vibe!!!full kujiongeza
 
Utabiri wangu; Mwakinyo atashinda via Unanimous Decision
 
Back
Top Bottom