Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Twaha kiduku ndo yupo ulingoni iviiii.... Anacheza na Rama Bulu from southVipi kina twaha kiduku,dulla mbabe hawapo leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twaha kiduku ndo yupo ulingoni iviiii.... Anacheza na Rama Bulu from southVipi kina twaha kiduku,dulla mbabe hawapo leo?
Leta tena kwenye tv ndo mnaona vizuri tu.sisi wa laivu ukiangalia pembeni tukio limekupitaVipi na akina sie ambao tupo kwenye vibanda tunaangalia tunaruhusiwa kuleta update???
bado ni mapambano ya utangulizi pambano lenyewe hadi saa 4Pambano limeendaje huko?
Wewe ni Mrundi!!Mwakinyo anapigana na Pakyau Leo atachapwa misumari ya maana.
Yeee.... Ila huko Kuna amsha amsha za kutoshaLeta tena kwenye tv ndo mnaona vizuri tu.sisi wa laivu ukiangalia pembeni tukio limekupita
Yeee.... Ila huko Kuna amsha amsha za kutoshaLeta tena kwenye tv ndo mnaona vizuri tu.sisi wa laivu ukiangalia pembeni tukio limekupita
Sasa akipigwa kweli utasemaje??hizo ni ngumi sio mpira huo we sio mfuatiliaji ndio tatizo lako niulize nikwambie jinsi nnavyo wafaham ma boxer wa kibongo na weaknes zao,Punguza jazbaWewe ni Mrundi!!
Ladhani huwa inakuuma sana ukiona mwenzio anafanikiwa.
Kwa sababu pambano limeingizwa siasa nyingi. Halafu limefanywa kama vile tayari Mwakinyo alishashinda, yaani haijakaa vizuri. Ngumi zina tabia ya kushangaza watu.
Mnakumbuka mashabiki wa Anthony Joshua tulivyoshangazwa na Andy Ruiz Jr? Yaani polls zote asilimia kubwa zilitabiri AJ angeshinda round ya kwanza, lakini tulichokiona kilituduwaza.
Wengi pia tulifikiri Deontay Wilder angemchakaza Tyson Fury, lakini kilichotokea tuliona.
Hata siku ya kwanza Mike Tyson aliposhangazwa hakuamini!
Ushauri:
Mwakinyo akitaka kushinda leo awe makini, amheshimu mpinzani wake na amchukulie serious sana. Anapokuwa pale ulingoni asahau masifa yote anayomwagiwa, ajue mpinzani wake anaweza kushinda pia, kwahiyo apige kazi kazi.
Anapigana vizuri, ana skills. Sema na Kessy mzuri, anapiga jabsKipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)
Vumilia weekend ishaanza.....wai nalala n'taangalia kesho youtube!
Maeneo haya nliyokaa nimeshangaa kuona kuna sare za chama tawala sasa sijajua kisa nn au wamedhamini wap pambano nini. All in all Twaha kiduku tupo poa.