Mwakinyo ashinda pambano lake dhidi ya Tinampay

Vipi na akina sie ambao tupo kwenye vibanda tunaangalia tunaruhusiwa kuleta update???
Leta tena kwenye tv ndo mnaona vizuri tu.sisi wa laivu ukiangalia pembeni tukio limekupita
 
Twaha kiduku amemshinda msouth Africa kwa Technical Knock out
 
Maeneo haya nliyokaa nimeshangaa kuona kuna sare za chama tawala sasa sijajua kisa nn au wamedhamini wap pambano nini. All in all Twaha kiduku tupo poa.
 
Kipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)
 
Wewe ni Mrundi!!

Ladhani huwa inakuuma sana ukiona mwenzio anafanikiwa.
Sasa akipigwa kweli utasemaje??hizo ni ngumi sio mpira huo we sio mfuatiliaji ndio tatizo lako niulize nikwambie jinsi nnavyo wafaham ma boxer wa kibongo na weaknes zao,Punguza jazba
 
Saa ngapi aisee?
Kwa sababu pambano limeingizwa siasa nyingi. Halafu limefanywa kama vile tayari Mwakinyo alishashinda, yaani haijakaa vizuri. Ngumi zina tabia ya kushangaza watu.
Mnakumbuka mashabiki wa Anthony Joshua tulivyoshangazwa na Andy Ruiz Jr? Yaani polls zote asilimia kubwa zilitabiri AJ angeshinda round ya kwanza, lakini tulichokiona kilituduwaza.
Wengi pia tulifikiri Deontay Wilder angemchakaza Tyson Fury, lakini kilichotokea tuliona.
Hata siku ya kwanza Mike Tyson aliposhangazwa hakuamini!

Ushauri:
Mwakinyo akitaka kushinda leo awe makini, amheshimu mpinzani wake na amchukulie serious sana. Anapokuwa pale ulingoni asahau masifa yote anayomwagiwa, ajue mpinzani wake anaweza kushinda pia, kwahiyo apige kazi kazi.
 
Kipenzi cha vijana(wahuni)wa Dar es Salaaam.Mfaumeeee anapigana na Kessy hili ndo pambano la mwisho kabla ya kuhitimisha usiku wa vitana kati ya Mwakinyo na Tarampei(mfilipino)
Anapigana vizuri, ana skills. Sema na Kessy mzuri, anapiga jabs
 
....wai nalala n'taangalia kesho youtube!
 
....kwani hizo siasa walizoingiza huko ni za chama gani?!
 
Back
Top Bottom