Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.

Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
 
Hawezi

Kiatu kitamuuma kwenye Kifundo cha Mguu

Kwa hio Twaha atulie tu Mwakinyo aendelee kupigwa akipoteza km mapambano matatu au matano hivi hapo ndio atakua na cheo cha Mandonga

Hapo Twaha ataruhusiwa kupambana na Mwakinyo

Kwa sasa asubiri Kwanza Mwakinyo bado hajawa Mandonga tusubiri adundwe tena
 
Anapigana vipi na uzito hawafanani?
 
Mwakinyo hawezi kubali apigwe bure
Kwani kwa Malikia huko kapigwa bure kalipwa Siri anayo yeye nini kilichomkuta ila hajapigwa bure kule

Na akipigana na Twaha haitakua bure ila atataka kuukata mzizi wa fitna km Mandonga alivyofanya baada ya kupigwa na Shaban Kaonekaa
 
Mandonga akapigane na Twaha kwanza 😂😂😂
 
Mwakinyo akikubali kupigana na Twaha mniite mbwa
Na ikitokea akakubari akapigana kisha akapigwa atalia mbele ya camera km yule aliekua shabiki lialia wa yanga alimaarufu km Steve atalia kishenzi yaan bonge moja la aibu dunia nzima 😂🤫
 
Yaani mnakaa mnani-post post we Mganguzi na wenzako kama unaona kazi rahisi pandeni ulingoni nyie wenyewe muone sasa kama kama mtaiweza ile shughuli.....kuna wakati mchezo wa ngumi ni sawa na kuingia kinyume nyume kwenye giza la popobawa mdogo'angu ”

”Na ukiendelea na hii tabia nitakuja siku moja nikuchezeshe kidevu ”

In Mandongas Mtu Kazi voice !
 
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.

Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
Kwakuwa mmatumbi mwenzie hatamuweza, Ila angekuwa mzungu angemwacha ampige, Kama ya juz, kapigwa kimasihara.
 
Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia.

Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
Siku hizi watu hawafurahishi watu bali wanatazama maslahi
 
Back
Top Bottom