Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

Yaani mnakaa mnani-post post we Mganguzi na wenzako kama unaona kazi rahisi pandeni ulingoni nyie wenyewe muone sasa kama kama mtaiweza ile shughuli.....kuna wakati mchezo wa ngumi ni sawa na kuingia kinyume nyume kwenye giza la popobawa mdogo'angu ”

”Na ukiendelea na hii tabia nitakuja siku moja nikuchezeshe kidevu ”

In Mandongas Mtu Kazi voice !
Hahahahahaaa
 
Mandonga kabla ya kupigwa anasema:

Sasa nimekuja kivingine
Nimekuja kuwasha Moto
Kuanzia round ya kwanza Mpaka ya sita..

Mandonga baada ya kupigwa anasema:

Punguzeni maneno naona mnacheka sana Mimi kukandwa
Suala la kukandwa ni la kawaida katika mchezo huu
Na sio kila ukipigana ngumi utashinda
Huu mchezo kuna kushinda na kushindwa
Huu mchezo kuna draw
Ni sawa sawa km nilivyokwambia unaweza ukapa-++_ mwisho wa siku ukajikuta kinguwela
Mchezo wa ngumi sio mwepesi km mnavyofikiri
Mandonga atabaki kua Mandonga na Mandonga Mtu Kazi
Km nilivyokwambia ukikaa karibu na mahakama sio kujua sheria
Sio mnakaa mnaongea ongea tu mnafikiri hii kazi ni rahisi
Mchezo ni mgumu sana huu..

COMPreNde
🤪
 
Back
Top Bottom