Mwakinyo kupigana na bondia wawili ndani ya usiku mmoja

Mwakinyo kupigana na bondia wawili ndani ya usiku mmoja

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
1706285923238.jpg
1706285918415.jpg
 
Kumbe pale walikuwa wanapima uzito.
Niliona watu wengi wamezongea majira ya jioni.
 
Mtaalam hii unaionaje hao anao pigana nao mabondia kweli
Hance Mtanashati

Ova
Mwakinyo sina mashaka nae.
kuhusu Elvis bado sijaona mapambano yake .

Naangalia mapambano ya AZAM(Mafia boxing) , nilifurahiswa na uwezo wa Mundi jamaa ni fundi haswa .

Apewe Loren Japhet au Nasibu Ramadhan pambano litakuwa zuri sana.
 
Aise pambano lilikuwa zuri yue elvis mgumu fulani,ila mwakinyo kama kawaida hajatuangusha kafanya kweli
Big sana kwake

Ova
 
Aise pambano lilikuwa zuri yue elvis mgumu fulani,ila mwakinyo kama kawaida hajatuangusha kafanya kweli
Big sana kwake

Ova
Mwakinyo angekuwa anacheza uzito wa chini kidogo ,Ibrahim Class angemu outbox kirahisi sana.

Pambano lao la jana lilikuwa zuri kiasi.
 
Mdigo mzigo. Keshachanja muku anajidanganganya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom