MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mwakinyo sina mashaka nae.
Mwakinyo sina mashaka nae.
kuhusu Elvis bado sijaona mapambano yake .
Naangalia mapambano ya AZAM(Mafia boxing) , nilifurahiswa na uwezo wa Mundi jamaa ni fundi haswa .
Apewe Loren Japhet au Nasibu Ramadhan pambano litakuwa zuri sana.
Aise pambano lilikuwa zuri yue elvis mgumu fulani,ila mwakinyo kama kawaida hajatuangusha kafanya kweliMwakinyo sina mashaka nae.
kuhusu Elvis bado sijaona mapambano yake .
Naangalia mapambano ya AZAM(Mafia boxing) , nilifurahiswa na uwezo wa Mundi jamaa ni fundi haswa .
Apewe Loren Japhet au Nasibu Ramadhan pambano litakuwa zuri sana.
Mwakinyo angekuwa anacheza uzito wa chini kidogo ,Ibrahim Class angemu outbox kirahisi sana.Aise pambano lilikuwa zuri yue elvis mgumu fulani,ila mwakinyo kama kawaida hajatuangusha kafanya kweli
Big sana kwake
Ova