Ufisadi wa jpm unaojaribu kutuaminisha hapa ni porojo ambazo ukiambiwa uthibitishe hutaweza, lakini kwa lowasa ni tofauti.......kamati teule ya bunge ilimwaga ushahidi wote ya ufisadi wake!
Lakini kama Wapinzani si wairudishe hiyo Hoja tu Mjadala uanze upyaa..!!??
Hili suala la nani na nani hawatapona lisikutie hofu.
Namshangaa sana Waziri Mwakyembe eti hakumhoji Mh.Lowassa Kwa kuwa ushahidi dhidi yake ulikamilika.Kama ndio hivyo mbina Ushahidi dhidi ya Paulo Makonda nao ulikamilika? Bw.Mwakyembe wewe ni mwana Sheria kumhoji mtuhumiwa ni haki kisheria kutomhoji Mh.Lowassa ulikosea huo ndio ukweli je kwanini suala la Makonda unataka ahojiwe? Mbona nao ulikamilika? Kumbuka watanzania hatudanganyiki tumesoma kama we we Sheria tunaijua mkuu
Huyo mzee wa kulishwa sumu akili yke iko tumboni tu hana chochote zaidi ya kutawaliwa na visasi na njaa kali mpka kujitoa ufahamu
Kutokana na maneno ya Mh Waziri wa habari na Utamaduni na Michezo Kusema Wapinzani wanataka kumsafisha Mh EL kwa kumlamba miguu,Swali kati ya Wapinzani na Mh Waziri Mwakyembe nani mlamba miguu?
Namshangaa sana Waziri Mwakyembe eti hakumhoji Mh.Lowassa Kwa kuwa ushahidi dhidi yake ulikamilika.Kama ndio hivyo mbina Ushahidi dhidi ya Paulo Makonda nao ulikamilika? Bw.Mwakyembe wewe ni mwana Sheria kumhoji mtuhumiwa ni haki kisheria kutomhoji Mh.Lowassa ulikosea huo ndio ukweli je kwanini suala la Makonda unataka ahojiwe? Mbona nao ulikamilika? Kumbuka watanzania hatudanganyiki tumesoma kama we we Sheria tunaijua mkuu
Sasa uchadema hapo unakujaje. Swala la uhakiki vyeti lilivyoathiri watu wengi wewe huoni?Yule mayor wa daresalaam huko huko wa chadema si alifungua kesi imeishia wapi?
Hivi chagadema na wabunge wenu mlitumwa na wapiga kura wenu kumtafuta makonda au kuwatatulia kero za kimaisha na kuwaletea maendeleo majimboni?
Je ajenda rasmi ni makonda kwa chagadema?
Hakika ufipa mmeshikwa pabaya
Kwenu watu wakweli ni wale wanaokubali kutumikishwa, kuabudu na kuburuzwa na micggat ya moshi na arusha kama walivyo wakurya na nyakyusa kokoWanyakyusa ni kati ya watu wakweli sana, huyu Mwakyembe sijui ni wa aina gani! Ati naye ana Ph.D Kweli mtu akiingia siasa ukoo umtenge kwanza, siku akiacha siasa arejeshwe kwenye ukoo.Kumbe siasa inaendeshwa kwa unafiki na uongo.
Matusi anayo Mkapa na Magujiandae kwa matusi mkuu
Saa hizi itakuwa afterthought, uongo utatungwa azima yote 2020. Kama walishindwa kuweka wazi kipindi kile baasi.
Sasa uchadema hapo unakujaje. Swala la uhakiki vyeti lilivyoathiri watu wengi wewe huoni?
Je huoni kuwa ni fedheha kwa mkuu wa mkoa kutumia majeshi kufanya uvamizi kwenye kituo cha habari?
Hili swala la Bashite sio ishu ya kisiasa!
ThubutuLirudishwe
SijakuelewaThubutu
Hawawezi kujaribu kujiaibishaUpinzani hawana uwezo huo