Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Huyu ndo alikuwabwazirinwa katiba na sheria na akaanzisha mahakama ya mafisadi. Kweli nimeoa kwa wanyakyusa sasa wanasababisha nikae kwa akili zaidi na my wife na wakwe zangu.
Mahakama ya Mafisadi ni chombo cha serikali. Ufisadi ni Jinai. Yu wapi Jamhuri ashitaki watuhumiwa?
Mahakama ya Mafisadi ni chombo cha serikali. Ufisadi ni Jinai. Yu wapi Jamhuri ashitaki watuhumiwa?