Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Yaani badala ya kujadili mambo ya maana ya maendeleo mntaka wabunge watumie tena kodi setu kajadili ujinga huu. You are not serious!Chadema wenzangu tuombe liludishwe jamani tupate ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani badala ya kujadili mambo ya maana ya maendeleo mntaka wabunge watumie tena kodi setu kajadili ujinga huu. You are not serious!Chadema wenzangu tuombe liludishwe jamani tupate ukweli
tena richmond ina watu wengi wengine ni marais wastaafu na wengi wako ccm mtaaibika bure
Wale wanachama, wafurukutwa, wakereketwa na wapenzi wa CDM mliomtangaza Lowassa kwa miaka 8 kuwa Fisadi na baadaye mkarubuniwa kuwa ni Malaika kupitia kwa Mwenyekiti wenu, sasa mnakaribishwa Bungeni ili mtuthibitishie Umalaika wa Lowassa aliyekosa sifa za Urais CCM nanyi mkamchukua kwa kuingizwa mjini( "kubadili gia angani"). Mnao wabunge wenu mahiri wafufue sasa Richmond tujue mbivu na mbichi ili iwasaidie angalau kumpatia Lowassa uenyekiti wa Chama chenu kinachokufa! Inafahamika wazi kwamba Urais ndio asahau milele hiyo MTU wenu!! Karibuni mje na dawa za kutosha kumsafisha!!
Chadema hawana huo uwezo, watabaki kupiga kelele tu lakini si kupeleka hoja bungeni officially.
Tena wapeleke mahakama ya mafisadiHivi BUNGENI ndiyo mahakama siku hizi??Kwanini Serikali isipeleke kesi Mahakamani tukajua mbivu na mbichi?Mwakyembe amesema ana evidence kwanini wasipeleke mahakamani kwanini Bungeni??Tunataka kesi iende mahakamani.
Kwahiyo ulikuwa tayari kumpeleka muovu Ikulu?Uwezo tunao,tunataka kesi iende MAHAKAMANI,pale BUNGENI siyo MAHAKAMA.Tunajua Lowassa amefanya maovu basi haki yake ni MAHAKAMANI na si BUNGENI.Mwakyembe tumia taaluma vizuri,toka lini Bunge likaamua kesi ya JINAI??
Na pia kule kwa mwenyekiti wa chama cha ngada
Hii serikali ijiuzulu tu.
Yaani wao ndio wameshika dola na wao ndio waliofunga huo mjadala Bungeni alafu leo ndio wanaowataka wapinzani waibue swala hilo badala ya kutekeleza maazimio ya Bunge au kufungua kesi Mahakamani.
Pathetic!
Kwa hilo hakuna tatizo kwa kuwa inajulikana toka zamani kuwa CHADEMA ndio remote ya kuongozea akili za CCM ndiyo maana hata ujinga wa CHADEMA mnakopi.CCM walikopi ujinga wa chadema
kikubwa mwakyembe kasema wao hawakuwa mahakama, ni bunge
Uko sahihi mangiKwa hilo hakuna tatizo kwa kuwa inajulikana toka zamani kuwa CHADEMA ndio remote ya kuongozea akili za CCM.