Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?Unaongelea nyusi zilizo nyonyoka baada ya kulishwa sumu na watu wa richmond?
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
Hivi hili lijitu lijinga lina mikakati gani kwenye wizara liliyopewa?
Umemsikiliza lakini hujamuelewa. Kazi ya Mwakyembe haikua kumpeleka Lowasa Mahakamani bali ilikua kuchunguza na Bunge kutoa maamuzi. Yeye alimaliza kazi yake suala la kumhoji Lowasa lilikua la Bunge lakini alisepa kwasababu alizozijua mwenyewe. Report haina uongo bali urafiki wa Kikwete na Lowasa wakati huo ulimsaidia huyo Rais wa watu wa mioyoni. Na kikwete alimuokoa Lowasa lakini hakutaka achukue nafasi yake maana CCM wangeisha mwaka 2015.kama ni kweli, basi kuna uwezekano Mwakyembe alitoa report ya uwongo na aliwadanganya watanzania. Kwanini aseme kma 'wanataka ukwei?' je hii haitafsiri ya kwamba huyu mh aliudanganya umma wa watanzania? achunguzwe upya kwanza
Na vipi kuhusu chama cha sepetunga
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Dk Mwakyembe, Nassari wapimana
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (kushoto) na Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari, Wawili hao walihamisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais Tamisemi na kurudisha suala la Richmond lililotokea mwaka 2008, huku Nasari akimtuhumu Dk Mwakyembe kuwa hakutenda haki katika ripoti yake na kumuondoa bila kumpa nafasi ya kujitetea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Dodoma. Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe jana walichafua hali ya hewa bungeni na kusababisha mzozo mkubwa katika mjadala uliokuwa ukiendelea.
Wawili hao walihamisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais Tamisemi na kurudisha suala la Richmond lililotokea mwaka 2008, huku Nasari akimtuhumu Dk Mwakyembe kuwa hakutenda haki katika ripoti yake na kumuondoa bila kumpa nafasi ya kujitetea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
“Huyu Mwakyembe ndiye aliyeongoza ripoti ya Richmond na hakumpa nafasi mheshimiwa Lowasa ajitetee, leo tena kapewa dhamana ya kuongoza Wizara ya Habari, Nape (Nnauye) ameondolewa lakini hakuna nafasi ya kumhoji Mkuu wa Mkoa... hakuna haki hapo,” alisema.
Kauli za Nasari zilimfanya Dk Mwakyembe kuomba mwongozo na aliposimama alisema: “Nilikuwa naongoza kamati na utaratibu mzuri wa kisheria ni kuwa, kama utaona kuna ushahidi wa kutosha hakuna sababu ya kumuita mtu, unaleta taarifa bungeni halafu Bunge linakuja kuamua.”
Dk Mwakyembe alisema katika taarifa yao, waliona hakuna sababu ya kumuita Lowassa kuhojiwa kwani ushahidi ulikuwa wazi na ndiyo maana hakutakiwa kuitwa mbele ya kamati badala yake walikuja kumshtaki bungeni.
“Huyu mtu wanayekuwa na mahaba naye kwa sasa, nasema wamlete hata leo waone kama hatutamnyoa kwa chupa, kanuni za kibunge zinaruhusu anaweza kuirudisha tena taarifa ya Richmond na ikaanza upya,” alisema Dk Mwakyembe.
Chanzo: Mwananchi
Na hapa ndio siwaelewi hawa jamaa tayari mahakama wanayo ssa kumkamata wanasubiri nni??? Ssa wanalialia huku hawachukui hatua na wakati wao ndio serikali !!!
Sitta, R.I.P, Mwakyembe, Bashite aka Konda,aliyekatika mkia Mpendazoe et al (na wengine) walitaka kuanzisha chama gani?_CCK?Mwakyembe kalishwa Sumu! By Marehemu Samuel Sitta! R.I.P
It's obvious ...Mwakyembe hawezi kufanya lolote ....kama Waziri aliyekuwepo katimuliwa kwa kuunda tu tume mnategemea huyu achukue hatua gani kama si upinzani kukosa mbinu ya namna ya kumlazimisha mamlaka ya uteuzi kuchukua hatua ....unaibuaje hoja kama hii kwa mgongo wa issue ya aibu kama Richmond ambayo sasa inaleta ukakasi hata huko Chadema? ....
Chadema wana ushahidi wa ufisadi wa LowassaMkuu hata kagame alituaminisha watu kuwa watutsi million 1 waliuawa 1994 yaani mauaji ya kimbari yalikuwa ni mauji dhidi ya watutsi kwa miaka 20 katuaminisha hivyo ila recently mambo yamekuwa wazi kuwa rwanda haikuwa na watutsi zaidi ya 200,000 ssa inakuwaje waseme walikufa watutsi million 1??? The whole world now knows the truth
Kwahyo hta ccm ilituaminisha watanzania wote kupitia ripoti ya mwakyembe kuwa yye ndo fisadi wa richmond ila with tym ukweli umejulikana ssa lowasa kasema yye hakuna alilofanya kikwete hakujua so whatever ushahidi chadema waliokuwa nao yeye simply "ALITUMIWA" ssa ndio unataka tuendelee kushkilia msimamo huo huo wa kuwa lowassa ni fisadi?? While the chain of command was clarified???