Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,113
Rejea kauli ya Rais kuhusu mikutano ya siasa, acha kujitoa ufahamu ndugu.mbona Lema huku Arusha kila siku anafanya mikutano ya hadhara mkuu hiyo mikutano imezuiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea kauli ya Rais kuhusu mikutano ya siasa, acha kujitoa ufahamu ndugu.mbona Lema huku Arusha kila siku anafanya mikutano ya hadhara mkuu hiyo mikutano imezuiwa wapi?
Peleka mahakamani haraka sana, maana ile mahakama imekosa kesilowasa alihusika na richmond
Sasa si ndio maana mwakyembe kasema kama kuna mtu anaona zikifanyika figisu arudishe hiyo hoja bungeni ili mbivu na mbichi zijuliikaneAcheni kuwahangaisha CHADEMA bure. Wakati ule suala la Richmond limeletwa Bungeni Wabunge wa chama chenu ambao ndio walikuwa wengi Bungeni, walisimama upande gani?? You should be ashamed of yourself. Likirudishwa Bungeni kisha utolewe ushahidi kwamba "Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri" wa wakati huo ndiye aliyetoa baraka kwa Mkataba wa Richmond, na Mwenyekiti huyo hakuwa Lowassa, mtasemaje?? Nyie watu, Mungu anawaona lakini.. acheni hayo mambo yenu ya unafiki mtaendelea kulaaniwa.
Aisee inaonekana hujui kikuchokuwa kinaendeleaAcheni uongo. Katika nchi zenye mfumo kama wa kwetu, haijawahi kutokea Waziri Mkuu akawa na Mamlaka makubwa ya kuingia mikataba mikubwa kama wa Richmond. I repeat, acheni uongo wa kitoto! Mbona kila siku tunasema Rais katika nchi yetu ana madaraka makubwa kama Mungu? Yaani ilikuwaje wakati huo Mh. Lowassa akawa na Madaraka Makubwa kuliko Rais?? Wadanganyeni wajinga wajinga.... welevu tulishang'amua siku nyingi.
Usaliti huo!Chadema wenzangu tuombe liludishwe jamani tupate ukweli
Unafikiri kwa masaburi? Mjadala wa Richmond ulikuwa Bungeni siyo MahakamaniHivi BUNGENI ndiyo mahakama siku hizi??Kwanini Serikali isipeleke kesi Mahakamani tukajua mbivu na mbichi?Mwakyembe amesema ana evidence kwanini wasipeleke mahakamani kwanini Bungeni??Tunataka kesi iende mahakamani.
Aisee inaonekana hujui kikuchokuwa kinaendelea
Una
Unafikiri kwa masaburi? Mjadala wa Richmond ulikuwa Bungeni siyo Mahakamani
Sasa si ndio maana mwakyembe kasema kama kuna mtu anaona zikifanyika figisu arudishe hiyo hoja bungeni ili mbivu na mbichi zijuliikane
Acha ulofa! CDM si ndio mnasema Lowassa mliyemtangaza Fisadi miaka 8 si sasa mnasema kaonewa na kwamba yeye ni malaika? Wabunge wenu walete hoja BungeniKwani hoja ile ililetwa Bungeni na CHADEMA?
Acha ulofa! CDM si ndio mnasema Lowassa mliyemtangaza Fisadi miaka 8 si sasa mnasema kaonewa na kwamba yeye ni malaika? Wabunge wenu walete hoja Bungeni
Mimi naona tufike mahali tuone ya kuwa tunachezewa akili pote pote, si CCM si upinzani