Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Hiki kijamaa toka kipone ule ukurutu wake tabu tupu!
 
Duuh mpwa reli ya 1940?

Unategemea brand new??Unayakumbuka Mabehewa ya Mwakyembe?

Wenzetu train za Mwendokasi zimeanza baada ya vita kuu ya pili usishangae.

Hata ile.dream liner ni ya mwaka 2010 na bei ilikuwa $90M Leo tunaambiwa imenunuliwa kwa $211M,halafu tunadanganywa ati tunapiga na vita vya Rushwa na Ufisadi maweee.
 
Nani katika nduki??Wanajua hata wao ni mafisadi hakuna msafi hata JPM.naye ni jamaa wa madeal tu.
Kwahiyo nchi hii hakuna msafi wakiwemo chadema
 
Choo kilihamia chumbani

Nyumba za kisasa ni self contained maana yake.mpaka chooni lipo ndani.

Issue kama fisadi Peleka mahakamani,Bungeni hakuna hakimu.Kelele tu za.polium.
 
Awamu hii mwanasiasa gani fisadi umeona ameshtakiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma zaidi ya kuona mafisadi akina Mwakieembe na Muhongo yakiwa mawaziri badala ya kufikishwa mahakamani !
Si bora hawa ni mawziri wanaweza kutenguliwa kuliko yule mlietaka kumpa ikulu?
 
Ndio maana nikasema jk na el wote wanahusika, lile ni dili la el na na jk. Hata hela mlizotumia kwenye kampeni 2015 zilikuwemo pia za richmond!
 
Si bora hawa ni mawziri wanaweza kutenguliwa kuliko yule mlietaka kumpa ikulu?

Ana tofauti gani na aliyeikulu??Bilioni nane za Kivuko kibovu cha mwaka 1928,Barabara substandard, hotel aliyopewa kama.10% ya kutoa tender. Hahahahahaha msafi Malaika.tu lakini.siyo kwenye Chama Chetu Cha Mauaji
 
Ha
Haya assume alidanganya, lakini kwa sababu aliyetuhumiwa pamoja na waliomtuhumu bado wapo, kumaliza mzizi wa fitina ni chadema kulianzisha ili ukweli uthibitike. Hii itasaidia sana katika mambo mengi lakini pia hata wakati wa kampeni 2020.
 
Ndio maana nikasema jk na el wote wanahusika, lile ni dili la el na na jk. Hata hela mlizotumia kwenye kampeni 2015 zilikuwemo pia za richmond!

Ukiita Ufisadi hata JPM.haponi wote ni wale wale.
 
Ha

Haya assume alidanganya, lakini kwa sababu aliyetuhumiwa pamoja na waliomtuhumu bado wapo, kumaliza mzizi wa fitina ni chadema kulianzisha ili ukweli uthibitike. Hii itasaidia sana katika mambo mengi lakini pia hata wakati wa kampeni 2020.

Amejua kuna issues kwenye hiyo report ndiyo sababu wamekuwa mkali kama.pilipili Mbuzi.
 
Aache ujinga huyoooo,anajua haiwezekani kwa sasa sababu alie ibua hoja ya richmond ni Dr.mihogo,,,na sasa hayupo chadema bali kaamia ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…