Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

Mkuu acha kutokwa povu, jadili.
Hivi unadhani kwa nini kulikuwa na majukwaa tofauti tofauti!? Sio lazima nipost siasa all the time au nipost what you want, upo hapo nigga
Mpuuze, hajui humu kuna majukwaa tofauti tofauti
 
Kwa hivyo una kubaliana na mimi kwamba kwenye vyama vyetu hakuna msafi siyo?

Nimekwambia tunaongelea kuhusu Watawala na waliowahi kuwa Watawala Lowassa na Sumaye,hivyo JPM kaka.hana usafiri wowote yupo hapo kupiga madeal tu
 
Kha! Ndo mnamuita Dr huyo, mbona hoja zake hazina mashiko na hazistahili kuongelewa na mtu mwenye hadhi-cheti cha PHD achilia mbali nafasi aliyonayo ya uwaziri.

My take: Atumwe India kwa matibabu haraka sana, mana naona ile sumu imekula kaubongo kaliko kabakia kazima kale daaah
Watu kama ninyi ni hatari kwa taifa hili kwasababu zenu za kiitikadi. Hajasema kibaya hapo kama kweli wanaona kuna uonevu kwanini wasirudishe hilo suala bungeni????
 
Usitukane mkunga uzazi ungalipo. Na siamini mtu mzima unaweza kuandika maneno ya kebehi kama hayo, hata kama mtu unamchukia!!
Nitafurahi watuhumiwa wote wa Richmond wakifikishwa mahakama ya mafisadi mliyokata mauno tz nzima kutangaza kuwa ndiyo kipaumbele chenu.

Kumtetea Mwakyembe inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
JPM kauza nyumba za serikali kwa bei chee pamoja na kugawa nyumba za serikali kwa hawala zake. Kanunua kivuko kibovu kwa bei za kifisadi bilioni 8 ili hali report ya CAG bei yake ni chini ya bilioni 5. Ufisadi ktk wizara ya ujenzi kipindi yuko Waziri wa ujenzi
Sumaye una muweka kundi gani kwenye hilo la nyumba za selikali? Maana ndio alikuwa waziri mkuu!
 
Ndio maana nikasema jk na el wote wanahusika, lile ni dili la el na na jk. Hata hela mlizotumia kwenye kampeni 2015 zilikuwemo pia za richmond!
Sasa kwanini msimpeleke mahakama ya mafisadi na mwisho wa cku afungwe jela why mnalialia wakati uwezo huo mnao ukizingatia mnao ushahidi wa kutosha je kipi kinawakwamisha mwaka wa 9 huu
 
Yeye mwakyembe cjui kiembe gani uko!! Yeye ni waziri na ndio wenye serikali kama kweli anaona ipo haja ya Richmond kujadiliwa anashindwa nn kupeleka hiyo hoja bungeni mpaka awaulize Chadema? Kwahyo yote anayoyapeleka bungeni anawauliza kwanza chadema au ndo unafiki???
 
Wasafi wapo wengi lakini kati yao huyo mliyempa urais siyo msafi pia. Mpiga deal kama wenzake tu.
Kama ulikuwa na akili hiyo ungendekia barabara mama Ana Mghwira na siyo yule mtu wenu.
 
Yeye mwakyembe cjui kiembe gani uko!! Yeye ni waziri na ndio wenye serikali kama kweli anaona ipo haja ya Richmond kujadiliwa anashindwa nn kupeleka hiyo hoja bungeni mpaka awaulize Chadema? Kwahyo yote anayoyapeleka bungeni anawauliza kwanza chadema au ndo unafiki???

Msihamishe Magoli!

Kama kuna Mbunge anahisi Lowassa hakutendewa haki katakiwa kurudisha Mpira 'uwanjani'
 
mwakyembe asittufanye watanzania hatuna akili leo ndo atatuambia ukweli wakati alishindwa kipindi cha nyuma
 
Nimekwambia tunaongelea kuhusu Watawala na waliowahi kuwa Watawala Lowassa na Sumaye,hivyo JPM kaka.hana usafiri wowote yupo hapo kupiga madeal tu
Kama ni hivyo kilichokufanya uwadekie barabara Lowasa na Sumaye ni nini basi?
 
Nitafurahi watuhumiwa wote wa Richmond wakifikishwa mahakama ya mafisadi mliyokata mauno tz nzima kutangaza kuwa ndiyo kipaumbele chenu.

Kumtetea Mwakyembe inahitaji uwe na akili ya maiti.
Ika kumtetea na kumdekia EL barabara kuna hitaji uwe na akili ya nini?
 
Teh, acha kujichanganya mkuu unajiabisha. Sasa ilikuwaje wampe tiketi ya kwenda ikulu huyo mtuhumiwa?

Huoni kama chadema hawajitambui?
Soma mantiki ya hoja yangu. Na Mpaka leo CHADEMA ndiyo wanataka Lowassa apelekwe Mahakamani na si CCM!!
 
IPELEKWE TU HIYO HOJA. KWANI NANI ANAPENDA KUTETEA WATU MAFISADI.

MIMI BINAFSI NILIMSIFU SANA DR MWAKYEMBE THAT TIME WAKATI ANAWAKILISHA ILE HOJA KAMA MW/KTI WA KAMATI.
STILL BADO NAMSIFU KWA ULE UJASIRI.
 
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.

Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!

Mpuuzi,ulikuwa na maana gani kusema mmeficha baadhi ya nyaraka kuilinda serikali!
 
Ujasiri wa kusema wameficha baadhi ya taarifa kwenye report kuilinda serikali?
 
Back
Top Bottom