Haa! kumbe mnajua lakini bado mkaona angefaa kuwa RAIS kupitia CHADEMA?Hakuna lolote hapo mpaka akina JPM wana husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa! kumbe mnajua lakini bado mkaona angefaa kuwa RAIS kupitia CHADEMA?Hakuna lolote hapo mpaka akina JPM wana husika.
kumbe zipo nyingine??Kwani CHADEMA walimwita Lowassa fisadi kwa hoja ya Richmond?
Kha! Ndo mnamuita Dr huyo, mbona hoja zake hazina mashiko na hazistahili kuongelewa na mtu mwenye hadhi-cheti cha PHD achilia mbali nafasi aliyonayo ya uwaziri.
My take: Atumwe India kwa matibabu haraka sana, mana naona ile sumu imekula kaubongo kaliko kabakia kazima kale daaah
Natural justice kwani yeye hakimu?Mwakyembe ataleta ukweli gani tena mwingine wakati amekiri yeye mwenyewe bungeni tena waziwazi kuwa hakumpa Lowasa natural justice ya kusikilizwa?
List Of Shame ndiyo inayozungumziwa!!kumbe zipo nyingine??
Alidanganyaje?Mwakyembe anatupa taarifa rasmi kuwa alidanganya binge wakati ule halafu kuna ndugu wanamshangilia!! Wa TZ!!?!!
Mbunge ana uhuru wa kupeleka hoja ya kureview hoja kama hakuridhika kufungwa haimaanishi haiwezi kurudishwa kwa hoja binafsi.Hii serikali ijiuzulu tu.
Yaani wao ndio wameshika dola na wao ndio waliofunga huo mjadala Bungeni alafu leo ndio wanaowataka wapinzani waibue swala hilo badala ya kutekeleza maazimio ya Bunge au kufungua kesi Mahakamani.
Pathetic!
Mwakyembe ataleta ukweli gani tena mwingine wakati amekiri yeye mwenyewe bungeni tena waziwazi kuwa hakumpa Lowasa natural justice ya kusikilizwa?
Tume haikumuhukumu lowassa bali ilitoa mapendekezo ajiuzuru au ahojiwe na wabunge akaamua kujiuzuru. Kamati ile haikufanya kazi ya mahakama ambayo ni lazima itoe haki ya kila mtu kusikilizwa bali ilifanya kazi ya uchunguzi bunge lilimpa nafasi ya kumhoji akakataa na kuamua kujiuzuru.Kiukweli wenye Mamlaka ya kuurudisha mjadala Wa Richmond Bungeni ni Ccm maana wako wengi !
Lakini Watanzania hawajasahau kipindi kile wapinzani walileta hoja ya kurejesha Upya bungeni Lakini Ccm wakagoma !
Hata kama MTU alikuwa na makosa lakini ulituthibitishia baadhi ya watu muhimu hawakusikilizwa akiwemo Mh Lowassa!
Kwa maoni yangu Nitaiombea sana Nchi yangu , lakini sitaruhusu mtu acheze na akili yangu mpaka 2020 nitakapotumbukiza kura yangu .
Anayetakiwa kutekeleza mapendekezo ya kamati ya bunge ni serikali sio kamati yenyewe. Wakati wa kamati mwakyembe hakuwa madarakani.Hebu shirikisheni kidogo mbongo zenu. Mbali ya Lowassa kujiuzulu ni mapendekezo mangapi ya Kamati ile teuli ya bunge yalitekelezwa. Hata bila ya hoja kurudishwa Bungeni yeye Mwakyembe aseme ni nini walitekeleza kwenye mapendekezo ya kamati ile teule ambayo yeye alikuwa Mwenyekiti?
Kumbukumbu zote zipo. Kureview jambo sio lazima vitu vyote viwepo linajadiliwa tendo la ufisadi katika mchakato wa kuipa tender richmond sio uwezo wa mitambo ya richmond.Wanaipelekaje Bungeni. Wanaipeleka kama hoja mpya ama kama hoya ile ile ya zamani. Kwani hiyo Richmond bado ipo? Mitambo yake iliuzwa kwa Dowans na Serikali ikachukua kodi, na Dowans nao wakawauzia Symbion na serikali ikachukua kodi na mitambo hiyo inatumika kuwauzia TANESCO umeme na serikali inachokua kodi na tozo mbali mbali!!
Warudishe ile hoja bungeni tutajua mwenye ugonjwa, mwenye PHD na mwenye Bachelor Degree ya kucheza ngoma jukwaani na manyanga miguuni. Wekeni mziki acheni maneno...Kha! Ndo mnamuita Dr huyo, mbona hoja zake hazina mashiko na hazistahili kuongelewa na mtu mwenye hadhi-cheti cha PHD achilia mbali nafasi aliyonayo ya uwaziri.
My take: Atumwe India kwa matibabu haraka sana, mana naona ile sumu imekula kaubongo kaliko kabakia kazima kale daaah
Usipanic sasa [emoji16][emoji16][emoji16]Sishangai lugha hiyo kutoka kwenye akili yako, kwa kuwa hiyo lugha tumeizoea na kesho utasema kinyume chake - kula matapishi.
Kukuamini itabidi nikapimwe akili, kama hayo anayoyaandika Daudi Mchambuzi, kila siku, ni ya mtu hai kweli au maiti (nakunuu).
Alete cheti cha kuzaliwa kwanza.Huyu waziri mwakyembe ni embe kabisa tena lile chachu