zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Si ndio nmesema kwa vyombo vilivyofanya uchunguzi ni vya kiserikali so its obvious wakamtoa lowassa rehani ili lawama zisiwe kwa JK maana wao ccm waliona ingeidhalilisha taifa....... ssa kwa kuwa ndio ripoti iliokuwepo wapinzani wamgewezaje kujua jinsi gani am kivp lowassa kahusioa na kikwete hahusiki??? Kma ni hivyo mbona wapinzani mpaka leo hawajui waliochukua pesa kupitia stanbic?? Je huoni ni cover up za serikali kulinda watu flani hasa ikulu????we jamaa una akili fupi sana CHADEMA ndio waliosambaza habari za ufisadi wa Lowasa kwa miaka nane kuhusu Richmond...na tume ya Mwakyembe ikadhibitisha ufisadi wa Lowasa.......sasa hiyo ya kusema Lowasa hausiki na Richmond ushahidi wake uko wapi?
What i know wapinzani walifanyia kazi taarifa zilizokuwepo which in turn source yake ni serikali yenyewe ila by now we all know lowasa hakuweza fanya bila kikwete kujua no wonder mahakamani hapelekwi maana atadhalilika huyo mzee wa msoga