Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Wazungu hovyo sana. Sasa weusi kwao ni nini?
 
Duh, kwakweli vyombo vya hanari vinawaandama kinoma aisee.
 
Kuhusu meghan na babake utakuwa unamuonea tu

Baba yake ni kama alimtelekeza tangu akiwa mdogo wala hakuchua nafasi kubwa kwenye maisha mwanae na yule dadake meghan mzungu.

Unapoanza ku hustle na kuwa maarufu zaidi ndio wanatokea some people wakidai eti uliwatelekeza na kuwachunia wakati hawakuwepo kwenye maisha when you were nobody.

Meghan unamuona

Alichofanya ni kwenda na same ridhimu.
 
Harry tangu mapema tu alijua hapa hawezi kuwepo kwenye list ya Succession ya ufalme Wa Uingereza,ndio maana ameona aendelee kuishi maisha yake anayopenda kuishi

William tangu akiwa mdogo alikuwa anaandaliwa namna ya kuja kuwa mfalme,hata moja ya watoto wake kwasasa anaandaliwa kuja kuwa mfalme

Harry anaona kabisa Mimi sina changu katika ufalme huu
 
Namhurumia Harry Kama akiachwa na Meghan...atakuwa mgeni wa nani?
Na wamarekani hawajuagi uvumilivu ukizingua kidogo tu talaka inakuhusu..
 
Hiyo Ni media ya UK ndo zilivyo wanamburuza mrembo wa watu. Hawataki kukubali kuwa mtu wa koo ya kifalme kutoka humo na kwenda kubeba goma sehemu nyingine hasa kwa Blacks ndo inawauma zaidi. Nakwambia huyo dada angekuwa anatokea kwenye mabarafu huko iceland wala usingesikia haya kuwa anamcontroll harry. Media za uk zilikuwa zinampenda sana harry sababu waliona anabeba vitabia vya mama yake diana so walikuwa na mategemeo abebe chombo cha kwao na sio niga from somewhere....sasa wakasahau tabia za diana pia zilikuwa kutojali mambo ya ufalme aka status ndo maana akasepa na dodi....na kuona aibu family ikafanye yake maana ingekuwa noma watoto wa kingdom wawe na ndugu kwa kina MUDI.....ndio ikaitwa ajali.
 
Meghan inabidi amheshimu Sana Harry...maana mwenzie amekubali kuasi ufalme kwaajili yake
 

Ubaguzi ni mwingi sana dunia hii
Di alitembea na Major Hewitt aliekuwa anamfundisha kupanda farasi
Akatembea na Dr yule mpakistani Hasnat Khan
Akaja kutembea na millionaire la Kimarekani la machinbo ya mafuta
Ndio akaja kumpata Dodi Al Fayed

Di alipoona anaandamwa kila kona ndio akaamua kusema ya moyoni kuwa hivi karibuni atatangaza kitu ambacho dunia nzima watashangaa

Dunia hii ina ubaguzi sana hata maandishi na matamko tu yanaonyesha racism haitaisha duniani
 
Namhurumia Harry Kama akiachwa na Meghan...atakuwa mgeni wa nani?
Na wamarekani hawajuagi uvumilivu ukizingua kidogo tu talaka inakuhusu..

Kutakuwa hakuna jinsi atarudi nyumbani tu na maadam baba yupo ndio egemeo lake
Bado ana ndugu pia
Amepitia mengi sana akiwa mdogo
Paparazzi kutwa na baadae kuvuliwa vyeo vyake daaaa

Atapambana naamini hivyo
 
Meghan inabidi amheshimu Sana Harry...maana mwenzie amekubali kuasi ufalme kwaajili yake
Hata asipomheshimu ni sawa tu coz hata Meghan akisema anaomba talaka kutoka kwa Harry.....atapewa talaka take na Harry atatafuta Black American mwingine ataoa

Harry succession ya ufalme haipo upande wake na ndio maana anaishi maisha yake binafsi

First successor-Prince Charles
Second successor-Prince William
Third successor-Prince George
 
Nilimaanisha Ameasi Kuishi Kama mwanafamilia ya kifalme coz Sasa hivi huko US anaishi Kama raia wakawaida sio mwanamfalme
 
Nilimaanisha Ameasi Kuishi Kama mwanafamilia ya kifalme coz Sasa hivi huko US anaishi Kama raia wakawaida sio mwanamfalme
Ndio anachokipenda yeye na hii hutokea zaidi hasa wanafamilia wawili wa kiume Wa kifalme........mmoja anaamua kujiweka behind na mambo ya kifalme ili kupunguza ile hate miongoni kwao coz mwenye nafasi anaona kabisa huyu jamaa kama anatamani nafasi yangu

Kama ilivyotokea kwa Baba yake mkubwa na Queen Elizabeth II.......alipoamua kuasi ufalme na kuvuliwa urithi na kuvikwa Baba yake mzazi
 
At her place, kama ningekuwa mimi, kiti hicho tayari ningekuwa nimeshamwachia Prince Charles tangu mwaka 2000; more tha 20 years ago!
 
At her place, kama ningekuwa mimi, kiti hicho tayari ningekuwa nimeshamwachia Prince Charles tangu mwaka 2000; more tha 20 years ago!

Huko kutembea na kutoka ndio kumemfanya asiwe na arthritis la sivyo kangelala zamani

Kumbuka watu wanapenda vyeo balaa
Hata wa kwetu alijua watammaliza ila bado aliendelea tu kiubishi ubishi
Sorry nimechomekea kama yeye alivyokuwa anasema
 
Kwa hiyo ndo kusema kajisomesha tangu akiwa mdogo, hana ndugu wala rafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…