Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Kuna wakati nilikua nipo interested sana kusoma na kuangalia movies na series nyingi sana zinazo husu utawala wa kifalme wa uingereza
Hawa jamaa hawataki kabisa maaihara ya kuvuruga utawala wao
Just imagine kilicho mkuta Diana
Jamaa ajiangalie sana
 
Harry hawawezi kumfanya chochote kwasababu ya damu yake ya kifalme

Ila Meghan na watoto watakaozaliwa ndio wanaweza kutengenezewa hata ajari wakafariki
 
Harry hawawezi kumfanya chochote kwasababu ya damu yake ya kifalme

Ila Meghan na watoto watakaozaliwa ndio wanaweza kutengenezewa hata ajari wakafariki
Ndio hivyo mkuu
Waingeteza washenzi sana mbele ya jamii wanajifanya hawana shida lakini nyuma pazia wanatamani kupasuka kwa hasira kwa alichokifanya Harry
 
Yaani aache kuoa mtu ampendae kisa ndugu zake[emoji57]
Ampendae wapi bwana kaamua kuweka historia yako ndani yafamilia ya malkia na siku tutakuja sikia kamtema au anamsongo wamana anahtaji ukaribu wa watu (ulinzi)
 
Wabongo na nyinyi mna "Royal Watchers"?
 
Amekosea kwa kuusikiliza Moyo wake unataka nini?

Kwamba aoe Mtu wa asili yake ili kuwafurahisha Ndugu na siyo Nafsi yake?
Usiufate moyo, huyu jamaa ana wivu kisa hatapata nafasi ya kuwa mfalme

Mi siwezi fata mapenzi
 
Kwa hiyo ndo kusema kajisomesha tangu akiwa mdogo, hana ndugu wala rafiki?
Mama yake ina maana alikuwa hafanyi kazi.?

Yawezekana alikuwa alikuwa na marafiki but labda kapitia ubaguzi akaamua ku cultivate her cycle kuwa ndogo watu wanamchukia kuishi maisha yake wengine wanalazimisha kujigonga wakati hawakuwepo
 
Hary ni mtukutu balaa sijawahi ona ,Yani mtu anaacha hadhi ya mwanaufalme unaenda kukaa mbali na familia yako yenye Kila kitu kisa mwanamke aisee inasinitisha sana.Sijui mwisho wake itakuaje ingawa ana Kila kitu kwenye maisha lakini alibugi Sana
 
Hapana inaweza usiwe kweli coz huu ufalme umeshuka hadhi na waingereza wengi hawausapoti kama zamani Sasa malikia anachokifanya anajalibu kuweka sheria Kali ili Hawa wanaufalme wawe na maadili makubwa ili ufalme uendee kuwavutia walipa Kodi wa Uingereza ,hata kama ni wewe ungefanya hivo.
 
Anaweza kuishia kwenye dipresion .
 
Mkuu Niko hapa miaka 30 na ninavyoona bado wengi wanakubali Monarchy
Takwimu za wanaokubali ni 53%
Na nikiongea nao wanakuambia we don’t mind to have Royal family
 
Unahisi jamaa anajali hata? Hadi kufikia kuishi hayo maisha ya sasa ni kwamba keshaamua.
 
Hary ni mtukutu balaa sijawahi ona ,Yani mtu anaacha hadhi ya mwanaufalme unaenda kukaa mbali na familia yako yenye Kila kitu kisa mwanamke aisee inasinitisha sana.Sijui mwisho wake itakuaje ingawa ana Kila kitu kwenye maisha lakini alibugi Sana
Itakuwa ana kinyongo fulani hivi...kama angetendewa sawa sidhani kama angefanya hivyo
 
Kwa hiyo ndo kusema kajisomesha tangu akiwa mdogo, hana ndugu wala rafiki?
Vipi kuna maelezo yameandikwa humu jukwaani kuwa hana mama, baba wa kambo mwenye kujali au watu wengine ambao wanaweza kumsaidia!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…