Hivi hii kitu ya mimba ni serious hivoo?Imasemekana alikuwa na mimba ya Dodi Ndio maana wakamuuwa
Alikuwa tayari kuiambia dunia kwa hasira
Waandishi walipowashutumu sana kwa mauwaji
Queen alitoka hadharani na kutoa karipia kubwa mpaka tukashangaa
Yule bibi anaonekana hadi usoni mkorofi, and very strong...Yaani kakivuruge
Kameharibu ndoa zao wote
Anaingilia sana mambo yao na kuwa boss sana
Mkali
Huyu nahisi hata ndo alivuruga mapenzi ya Margaret na Townsend?Hilo halina mjadala
Kuwa kwenye system miaka 70 sio mchezo lazima ayajue mengi
Ila kumbuka nae ni mama na alikuwa mke wa mtu pia
Yaaaani...Balaa Witty[emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16] siku zinakimbia jamani juzi tu hapa[emoji848]
Mara paap mkahamia Sandringham [emoji1732][emoji1732][emoji1787]
Hivi hii kitu ya mimba ni serious hivoo?
Queen alitoa karipio gani mkuu?
Yule bibi anaonekana hadi usoni mkorofi, and very strong...
Hivi Diana humo ndani walikuwa hawamtesi kweli?
Na kwanini Charles hakumpenda Di?
Hivi Camilla kweli ndo wa kuvunja ndoa ya Chale? Huwa sipatagi majibu, na Mrs Bowles kadumu kweli mle[emoji848]
Huyu nahisi hata ndo alivuruga mapenzi ya Margaret na Townsend?
Aliwachimba biti[emoji16][emoji16]...Alitoa onyo kwa wale wote wanaotoa habari za uongo na eti wao wana mkono mrefu watawafikia na waache mara moja
Na Kweli waliacha wote mara moja maana sio tabia yake kutoka hadharani na kutisha hivyo
Hehehehe mkuu uko jikoni kabisa usijali...hivi Harry si ni wa Hewitt, wamefanana balaaKama hata Sarah Ferguson alikosa amani akasalimu Amri na ndio mpole kuliko Di
Hapo unasemaje
Charles na Camilla walikuwa marafiki kabla ya Di Kwa hiyo Charles hakumuacha camilla waliendelea nae na akawa hamjali Di
Hapo Diana nae (unajua wanawake wanapenda sana sympathy [emoji253])
Hapo akamuhadithia matatizo yake Major Hewitt ambae alikuwa mwalimu wake wa Farasi
Major nae hakulaza damu akatafuna
Yaani naandika kama nilikuwepo vile [emoji23][emoji23](sitaki dhambi mimi) [emoji23][emoji23]
Daah kweli asee....alimharibia mdogo wake na ndo maana akadumbukia kwenye ulevi wa kutupwa!Malkia kama kiongozi Mkuu wa kanisa wakati huo wanajali sana dini
Hakuweza kukubali aolewe na mtu aliekuwa na mke na watoto wawili juu
Ila ya Charles mwanae akakubali
Unaona tofauti mmoja ni dada yake na mwingine ni mwanae na wote kesi moja ila kaegemea kwa mwanae
Aliwachimba biti[emoji16][emoji16]...
M16 ingewahusu hawa paparazzi
Hehehehe mkuu uko jikoni kabisa usijali...hivi Harry si ni wa Hewitt, wamefanana balaa
Daah kweli asee....alimharibia mdogo wake na ndo maana akadumbukia kwenye ulevi wa kutupwa!
Anapiga tequila na roasted pork daily mpaka akapata stroke[emoji848]
Yule bibi anaonekana hadi usoni mkorofi, and very strong...
Hivi Diana humo ndani walikuwa hawamtesi kweli?
Na kwanini Charles hakumpenda Di?
Hivi Camilla kweli ndo wa kuvunja ndoa ya Chale? Huwa sipatagi majibu, na Mrs Bowles kadumu kweli mle[emoji848]
Harry atakuja kuwa shujaa wa historia mbeleni. Shujaa aliyekataa ubaguzi wa ubaguzi wa aina yoyote. A champion of diversity and inclusion.Harry alimwalika William na mkewe pamoja na watoto wake katika tafrija ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto Lili.
Lakini William na familia yake hawakutokea kabisa. Inaelekea bado kuna mvutani kwenye hiyo familia ya kifalme. Harry na mkewe ilibidi warudi US siku ya Jumapili baada ya kuhudhuria sherehe ya Malkia nako waliwekwa kwenye sehemu ya watu wenye status ya pili siyo kama ilivyokuwa zamani alipokuwa anakaa pembeni ya kaka yake.
Huyu kijana siku Meghan akimwacha atahitaji maombk ya Ngwajima ili asije jimurder
View attachment 2253294
Hahahaha nahisi hata harry anaujua huu ukweli ...Ila kweli wamefanana balaa
Ni damu yake
Naona Di alifanya makusudi kumkomoa Mama mkwe [emoji23][emoji23]
Sio mume tena
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] eti mamba, si ule mdomo wa Camilla kama mla ugoro[emoji1787][emoji1787] yule bibi simpendi wallah...Baba yake Dodi (Mohamed Al Fayed )
Ilimuuma sana vile vifo vya mtoto wake na mpenzi wake Di
Ila mzee alikuwa haogopi mpaka wakamnyima na Uraia
Alimtukana Charles akamwambia hivi Umemuua Diana ili uoe MAMBA
Daa hilo tusi silisahau Hebu mwangalie Camilla [emoji23][emoji23]
Hii nimeikumbuka tu nabaki kucheka
Mzee Fayed kiboko
Hahahaha nahisi hata harry anaujua huu ukweli ...
Chalz alikuwa halali na mkewe sasa alitegemea Di ataponea wapi?
Mkuu huyo Major ndiye alikufa kwa ajali ya pikipiki?Mkwara mmoja tu paparazzi wakawa mbali na majumba yao (Royals)
Mwanzo walikuwa wanapiga na kambi na kulala kabisa
Ila sasa wanasimama barabarani tu kupata picha za mbali [emoji23][emoji23]
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] eti mamba, si ule mdomo wa Camilla kama mla ugoro[emoji1787][emoji1787] yule bibi simpendi wallah...
Ila mzee Fayed wamemshindwa, hafichi vifo vyao asee, sijui kwanini hawajamuua hadi leo, mpaka na London kapakimbia..
Hivi ile Harrod's mall bado anaimiliki?