Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

Mkuu huyo Major ndiye alikufa kwa ajali ya pikipiki?
Kuna yule mlinzi wa diana aliyekufa kwa ajali yenye utata ya pikipiki. Mke wake aliwahi taka hojiwa kuhusu hii habari aligoma kabisa kulizungumzia na anasikia alihama UK kabisa

Hapana Mkuu huyo Major Hewitt alikuwa anamfundisha Diana namna ya kupanda farasi kwani Malkia anapenda sana farasi na anao wengi na Diana alitaka ajifunze
Ndipo mapenzi yakaanza na inasemekana ndio baba yake na Harry

Ila huyu mwingine anaitwa Barry Mannakke alikuwa Mlinzi wa Diana ila nae wakasema anakauhusiano na Diana
Alipata ajali ya pikipiki iliyogongana na Ford Fiesta na ilikuwa inaendeshwa na kijana wa miaka 17
Walisema kauwawa ila ilikuwa ni ajali lakini kwa dunia wa wazito huwezi kujua

Huenda walimuuwa pia
 
Amekosea kwa kuusikiliza Moyo wake unataka nini?

Kwamba aoe Mtu wa asili yake ili kuwafurahisha Ndugu na siyo Nafsi yake?
Labda viuno?!

You know,sometimes wanaume tunakwamaga sehemu ndogo sana but anachokipata siye hatukijui.
 
Kiufupi huyu anaweza kupotezwa kiajabu... Nikikumbuka kifo cha utata cha mama yake princess Diana kilisababishwa na mahusiano Kama haya...
Familia haikupendezwa na Diana kuolewa na muarabu tena muislam ikaonekana haiwezekani Royal family iwe na waarabu.. hiyo itakua ni fedheha kubwa Sana...
Sasa Harry wewe endelea tu na hao wazungu weusi uone mwisho wako
 
Maaana niliwahi tazama documentary kuhusu kifo cha diana wanadai askari ambaye alikuwa rafiki yake alichukua ile pikipiki na kuipeleka kwa wataalam ikagundulika brake system ya ile pikipiki ilikuwa imeharibiwa kabla ya ile ajali.
Ila duniani we believe what we want to believe inawezekana ilikuwa ajali tu kama ulivyosema
 

Inawezekana kabisa walimuuwa maana ndio miaka Di ndoa ilikuwa inaelekea kubaya na huyo akawa comforter wake
Ilikuwa ajali mbaya na yeye akiwa passenger
Walisema mengi na Di alikuwa yeye akivurugwa tu anamwaga Siri kwa mtu wa karibu
Yaani alikuwa na wapenzi 6 akiwa kwenye ndoa kwa wakati tofauti tofauti
 
Mkuu huyo Major ndiye alikufa kwa ajali ya pikipiki?
Kuna yule mlinzi wa diana aliyekufa kwa ajali yenye utata ya pikipiki. Mke wake aliwahi taka hojiwa kuhusu hii habari aligoma kabisa kulizungumzia na anasikia alihama UK kabisa
Sio huyo mkuu ..huyo ni nwingine
 
Hilo halina mjadala
Kuwa kwenye system miaka 70 sio mchezo lazima ayajue mengi
Ila kumbuka nae ni mama na alikuwa mke wa mtu pia
Yeye hajui hilo,, ni jukumu lake kuhakikisha Royal family ina survive bila kuwa spoiled by any means necessary,, lazima afanye hivyo
 
Huyu malkia Elizabeth ndo mama yake na diana yule aliepataga ajali ya gari ama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…