Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu huyo Major ndiye alikufa kwa ajali ya pikipiki?
Kuna yule mlinzi wa diana aliyekufa kwa ajali yenye utata ya pikipiki. Mke wake aliwahi taka hojiwa kuhusu hii habari aligoma kabisa kulizungumzia na anasikia alihama UK kabisa
Hapana Mkuu huyo Major Hewitt alikuwa anamfundisha Diana namna ya kupanda farasi kwani Malkia anapenda sana farasi na anao wengi na Diana alitaka ajifunze
Ndipo mapenzi yakaanza na inasemekana ndio baba yake na Harry
Ila huyu mwingine anaitwa Barry Mannakke alikuwa Mlinzi wa Diana ila nae wakasema anakauhusiano na Diana
Alipata ajali ya pikipiki iliyogongana na Ford Fiesta na ilikuwa inaendeshwa na kijana wa miaka 17
Walisema kauwawa ila ilikuwa ni ajali lakini kwa dunia wa wazito huwezi kujua
Huenda walimuuwa pia