Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refer to Gary Neville na Alan ShearerHili watu wengi hawajui.
unanikumbusha maneno kama chop out, chop in, sliding move, back tilting, ball lobbying, delayed run-out, simple random tackling na nk.Naunga mkono hoja,namkubali sana mwalimu Kashasha...
Alinikosha sana kwenye kombe la duania mwaka juzi,kiasi mechi ambazo hakuwepo zilikosa msisimko kwangu.
WACHAMBUZI SASA WANAGAWANYIKA
WENGINE WANASEMA HAJI MANARA YUKO SAHIHI NA WENGINE SHAFFIH DAUDA YUKO SAHIHI
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
MWL ALEX KASHASHA NAE KAJA NA LA KWAKE JUU YA GOLI LA OBREY CHIRWA
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116]
BONGO LAND
BONGO FOOTBALL
Hahahahahahaaah mkuu umenichekesha....kwa hiyo una admit kwamba mzee ni mwongo.Uyo mzee ni muongo sana
[emoji2] [emoji1]Uyo mzee ni muongo sana
Shaffii Dauda namkubali sana anajua.Mwl.Kashasaha namkubali sana kwelikweli anajua
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hahahahaaaaaaUyo mzee ni muongo sana
Uzuri wa mwl.Theogenex Alex Kashasha ana taaluma ya uchambuzi wa soka kwan hata lugha yake ipo kisoka zaidi kisayansi hapepesi macho.Shaffii Dauda namkubali sana anajua.