TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

Mchambuz nguli wa habari ya michecho maarufu kama mwalimu kashasha amefariki dunia hivi punde aliko kiwa amelazaa hosp ya kairuki,

Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio.

Apumzike kwa amani Mwl. Kashasha.

Ila pamoja na kuwa vifo vimekuwa vingi, huyu haitakuwa Corona na pia hata hao wengine.
 
Mchambuzi nguri wa soka hapa Tanzania mwalimu Alex Treojenusi kashasha amefariki dunia mchana huu katika hospital ya kairuki jijini dar es salaam alipo kuwa anakatwa matibabu

Mwalimu kashasha alikuwa mwalimu wa michezo katika vyuo mbalimbali na baadae akawa mchambuzi wa soka katika television ya taifa .

Mwalimu kashasha alikuwa anaunguruma katika kipindi Cha michezo Cha TBCFM

Kwa wale wanasoka watakuwa wanamtambua mwamba huyu wa kuchambua soka kwa weledi wa hali ya juu

R.I.P mwalimu wa michezo

USSR
Screenshot_20210819-154846.jpg
 
Back
Top Bottom