Mwalimu aliyekuwa anaishi ofisini apata makazi

Sikia mkuu,tatuzo waajiri hawa wakishakuona unaharakati za kimaendeleo wanakuhamishia sehemu tofauti naulipo nahata hawakulipi(hii imewahi kunitokea mm binafsi),nikakomaa wakanilipa kiasi kidogo tu nakunitishia kunifukuza kazi.wakanihamishia eneo tofauti na nilipokua ninafanya uwekezaji,kiufupi kuna changamoto ila asante kwa ushauri mkuu.
 
Kamwe usimwambie mtu jambo bila sababu. Fanya mambo yako hata kwa kushare na watu waaminifu. Usimwamini rafiki hasa Co worker
Hata akikuhamisha kama ni nyumba itabaki
 
Mwalimu analala darasani kaweka vyombo na jiko LA mkaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila unakuaga na points basi tu watu hawakuelewi kutokana na uwasilishaji wako. Ukiendelea hivi Kuna siku utaleta mabadiliko makubwa Kwa hii sekta. Huu uwasilishaji ni UNIQUE maana ukiongea soft language hawatakuelewa
 
Ndoutoke, ualimu ni laana
 
Watu wapo kwenye Dunia ya mtandao na kazi za akili nyingi zenye network Duniani wewe unahangaika na jembe la mkoroni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], walimu ndomana mnazalaulika badala umwambie aache hiyo kazi aje dar Es salaam afungue kampuni la usafirishaji bidhaa kutoka nje ya nchi, kuuza nguo kutoka China, kuuza simu na vifaa vya electronic wewe unamwambia akomae huko mashambani
 
Nyie vichwa vyenu mafuvu matupu, unakubalije kisenge hivyo kuhama bila malipo? Akisema nitakufukuza mwambie afanye hivyo kama ana huo ubavu takataka huyo. Mwenye mamlaka ni TSC sio mkurugenzi, mkurugenzi ni nyani tu ukiona wanakubana mda wa kutafuta maendeleo waachie kazi lao Paka hao
 
Ila unakuaga na points basi tu watu hawakuelewi kutokana na uwasilishaji wako. Ukiendelea hivi Kuna siku utaleta mabadiliko makubwa Kwa hii sekta. Huu uwasilishaji ni UNIQUE maana ukiongea soft language hawatakuelewa
Hawa nyumbu tutaanza kuongea Kwa kuwapukuza makofi, migumu kuelewa inadhalilika kila siku ona Sasa ticha mpaka kajengewa banda na wananchi means uwezo wa kujenga hana, banda lenyewe ukiangalia hata million mbili haifiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…