Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

Mwalimu aliyetoweka Simiyu akutwa amefariki Musoma

ni watesi wa wanetu, wanetu wanashindwa ata kumasta masomo yao sabab ya ukali na ukatili wa waalimu
 
Shida ndizo hupelekea mtu kufanya mambo haya,fikiri mwalimu msomi alijua kuwa anaenda kujikomboa kwa biashara ila kakutana na sharti la mganga ndo imekuwa mwisho wa ualimu na biashara kwa pamoja.
 
Naamin ww n mwalimu uliyemaliza mwaka 2015 wa masomo ya arts toka mwaka huo huna ajira ss unachofanya n kukandia walimu tu
Hapana ni mwalimu uyu alikopa anadaiwa pesa ndefu now anamsongo mkubwa wa mawazo kwani pesa aliyokopa imeisha bila kufanya cha maana huku mshahara unatoka kiduchu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom