Sina taaluma ya upelelezi ya kipolisi.
Ila nimeshapata majibu ya awali
Pesa ya mkopo milioni 5 ndio sababu ya kifo chake.
Waganga wanajua vizuri. Hapo waganga wamempiga na kupoteza ushahidi wamemuua.
Ni kama kesi ya yule mama aliyeuwawa na binti yake akishirikiana na waganga wa kienyeji moshi.
Waganga kwenye hela sio watu. Wakishakupiga hela nyingi wanakuua ili kupoteza ushahidi