We bwana mdogo acha ubwege.We Lofa tu, hata jina lako linaonyesha ni bwege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bwana mdogo acha ubwege.We Lofa tu, hata jina lako linaonyesha ni bwege
Umegeuka mtukanaji sasa hapo!!! Kwann moyo umejaa makasiriko??????We Lofa tu, hata jina lako linaonyesha ni bwege
Unataka kutuaminisha kuwa waliokinyamazia kikokotoo ni Walimu tu ama unamaanisha waliokipitisha ni Walimu pekee?Hawa watu niwahovyo sana, yani hawajitambui ni mioga haijui kudai hata haki zao sijui shida nini, yani ccm wanayaburuza kama punda can you imagine hawa ndomawakala wezi wa uchaguzi mkuu??
Hili bandiko lako limeonesha wazi chuki uliyonayo dhidi ya hii KADA.Nadhani hata watoto wako kama unao au unatarajia kuwa nao watafundishwa na madaktari badala ya walimu.Hawa watu niwahovyo sana, yani hawajitambui ni mioga haijui kudai hata haki zao sijui shida nini, yani ccm wanayaburuza kama punda can you imagine hawa ndomawakala wezi wa uchaguzi mkuu??
[emoji1787][emoji1787] psychology inawapambanua watu wa aina ya huyu jamaa Kama ni aina ya vichaa,na kwa graphology ya kawaida Sana,ukoangalia the way anavyoandika,ni mota psychatric who has developed negative phobia of teachers, hivyo ukifanya deep analysis on his History, utagundua alikua ndiyo waandika matusi kwenye mitihani. Ndiyo Maana kila post anawaza waalimu tu.Dah kaka mbona unawachukia hvo waalimu hadi marehemu waalimu pia unawakandia kaka au ww ndo una msongo wa mawazo[emoji16][emoji16]
Kweli wewe ni mnafiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka kutuaminisha kuwa waliokinyamazia kikokotoo ni Walimu tu ama unamaanisha waliokipitisha ni Walimu pekee?
Wamewasaidia nini walimu wenzao kama hao Marais walikuwa maticha,[emoji1787][emoji1787] psychology inawapambanua watu wa aina ya huyu jamaa Kama ni aina ya vichaa,na kwa graphology ya kawaida Sana,ukoangalia the way anavyoandika,ni mota psychatric who has developed negative phobia of teachers, hivyo ukifanya deep analysis on his History, utagundua alikua ndiyo waandika matusi kwenye mitihani. Ndiyo Maana kila post anawaza waalimu tu.
The first president of urt [emoji1241] was a teacher,the second one was a teacher too,the fifth was a teacher, Sasa huyu mgogo moderate illiterate psychiatric, sijui shida yake nini?
Angalia graphology zinaonyesha ni jobless tena moderate illiterate psychiatric, either yuko milembe mental health hospital,kapata nafuu au kagongewa mke na walimu, maana kwa dodoma vijijini Hakuna mtumishi wa kujilinganisha zaidi ya mwalimu tu,he is suffering from inferiority complexity [emoji24][emoji24][emoji24]Huyu 100% hana ajira believe me
Hhhahaha mwalimu utapata tabu sanaAngalia graphology zinaonyesha ni jobless tena moderate illiterate psychiatric, either yuko milembe mental health hospital,kapata nafuu au kagongewa mke na walimu, maana kwa dodoma vijijini Hakuna mtumishi wa kujilinganisha zaidi ya mwalimu tu,he is suffering from inferiority complexity [emoji24][emoji24][emoji24]
Nimaogaaa mkuu believe me wanakera jamani, yani kwenye mission za maslahi Yao hawasemi wapo kimya tuSasa mzee Mpwayungu, wote humu tumefundishwa katika hatua mbalimbali na walimu.......ya nini kuwa na chuki yote hii na walimu. Mimi napendekeza labda ufanye kazi ya kuwa mtetezi wa walimu kwa watawala hususan kwenye maswala yanayohusu mazingira yao ya kazi na maslahi, maana walimu ndo tunaowategemea wafanye kazi ya kuwaelimisha watoto wetu........hivyo wanastahili kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Simple graphology analysis, Wewe mind blinded psychatric,[emoji137][emoji137]huwa wanajiona wako sawa,kwa Nchi za magharibi,Kuna special rehabilitation centers mnapelekwa kukuondolea au kupunguza hiyo hali, the next stage ya aina ya matatizo haya ya Akili inahamia kwenye kushambulia miwili [emoji24][emoji24][emoji24] kuuaSheria ipi iloyovunjwa, usiongee kama tahilar unafikiri jamiiforum niyababa ako
Picha ikwapi?Ila mzuri
Umemaliza...nashangaa watu wanaamini ni mwalimuAngalia graphology zinaonyesha ni jobless tena moderate illiterate psychiatric, either yuko milembe mental health hospital,kapata nafuu au kagongewa mke na walimu, maana kwa dodoma vijijini Hakuna mtumishi wa kujilinganisha zaidi ya mwalimu tu,he is suffering from inferiority complexity [emoji24][emoji24][emoji24]
Uko sahihi kabisa. jamii forums kwa sasa inaruhusu mambo mengi ya hovyo ku trend.Nigger what???
Maxence Melo tafadhali mtandao wako utakuja kuonekana wa kiwaki sana kwa kuruhusu nyuzi kama hizi.
Huu upuuzi ndio unauita uhuru wa maoni ?
Eti where we dare to talk openly.
Maxence jamiiforum utaiua wewe mwenyewe wala sio sisi.
kama vipi nipe ban ijulikane moja.
Siandamane mamako..mbona wewe hali ngumu na huandamaniAcha yafe, hayajielewi ni maoga ukiwaambia yaandamane ya naogopa kufa nakati kifo ni Natural death, sasa Mungu anaamua kujibu Kwa vitendo nawatapukutika
Umarehemu kautaka yeye, Tamaa ya pesa kaenda kuroga kafaUko sahihi kabisa. jamii forums kwa sasa inaruhusu mambo mengi ya hovyo ku trend.
Mtoa mada hamjamtendea haki marehemu. Kisa tu alikuwa ni mwalimu. Binafsi nimejisikia vibaya sana. [emoji3525]
Hali ngumu kwako, mm nina Prado mpyaa namba E Nina nyumba pesa za kutoshaSiandamane mamako..mbona wewe hali ngumu na huandamani