Wamekukosea
Walimu hawa majinga ambayo hayana vision zaidi ya ugali na soya najuta kufundishwa na mialimu
Wamekukosea nini mkuu?
Ebu jaribu kuzungumza na m1 m1 ikiwa ualimu ni chaguo lao ama mizigo,majukumu yanayowakabil na uchumi usioridhisha wa mababu zao ndio umewasukumia huko?
Ninachokifahamu mimi katika Walimu uwatukanao,ukichukua Walimu 20, ni m1 tu ndiye anaye upenda ualimu na 96% ya Walimu ama walianza kuyakabili majukumu kama mlezi ama mzazi hata kabla ya kumaliza kidato.
Wengi wao wana extended family kwa maana ya siyo tu kuwalea,bali pia kuwavusha wadogo zao,binamu zao,wapwa zao,watoto wa marehemu kaka ambao pengine wana ndoto za kuwa watu mahili ktk nyanja tofautitofauti Kitaifa na Kimataifa.
Hao Walimu uwatukanao baadhi yao wametumika km ngazi kuwapandisha wadogo zao ambao pengine leo hii ni Judges,Mabalozi,Mawaziri nk.
Ukinionba mifano sina lkn Walimu hao kuna damu za ukoo wenu mmezitelekeza ama wao wanaishi nao na wanawahudumia na pengine wanawahudumia pale shuleni, unakuta mtoto ana nia na bidii anazo tele lkn haungwi mkono na ndugu ama ametelekezwa,basi Walimu wengi uhudumia watoto wa namna hii kwa wingi.
Labda ungesema kwamba serikali ina nia ya dhati kabisa kumkandamiza na kumnyonya mtumishi wa Mma ingekaa poa kuliko kumtukuna Mwl.
Hiyo iko wazi kabisa. Iko wapi haja ya Watumishi kudai haki ambayo serikali inatambua kuwa wanasitahili kupewa ili kuboresha na kuinua hali na maisha yao? Wewe unadhani ni nia ya serikali kuboresha masirahi ya Watumishi wa Mma?
Sema hivi, Tz kuna wasomi wasiokuwa na maarifa ndiyo maana walianzisha,walipitisha na kukubali;
1 : Vyama vya wafanyakazi ili viwanyonye watumishi na ukizingatia kwamba msingi wa uwepo wa vyama hivi ilikuwa ni kipindi cha kudai Uhuru.(sasa hivi tuko Huru,vyama ni vya nini?)
2: Kuchelewesha kwa makusudi kinua mgongo na mirathi kwa kusingizia kutokamilika kwa taarifa.
3: Kuanzisha,kupitisha na kukubali uwepo wa hicho kinachoitwa kikokotoo kandamizi.(Mtu kalitumikia taifa kwa takribani miaka 27,amemaliza,kumpatia kinua mgongo chake mnaweka nongwa ili afe kwa msongo wa mawazo mapema ninyi mchukue fedha zake.
Mkuu,km ww siyo mfu kwa sasa nadhani tongotongo zimekutoka machoni,ni wajibu wako sasa kuwaomba Walimu msamaha kwa ma2C yako ya bila kukusudia.
Naziweka shukurani zangu hapa chini.