Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Rudia kusoma utaelewa
Hivi ile kesi ya Kagenzi iliishia wapi?
Kama tayari keshatoa maelezo yake polisi na uchunguzi unaendelea kulikuwa na haja gani yakukimbilia mitandaoni sasa?
Ebwana eee, mkuu, asubiri mpaka mwezi upite?
Mbona unatokwa na povu sana kwa hiyo huu ukatili hukutakiwa kuripotiwa kwenye mitandaoni?
Bila kumtajataja mumeo hujisikii raha sio!Ccm nihatari sana
Wewe hujitambui unatetea upuuzi angekuwa ni mama yako amefanyiwa huo ukatili ungeandika huo upuuzi?
Ccm na ufisadi nisawa na nzi na kinyesiBila kumtajataja mumeo hujisikii raha sio!
Kuna shida gani watanzania wakijua alichofanyiwa?Nani katetea nini? Acha kurukaruka rudi kwenye mada.
Kulikuwa kuna haja gani ya yeye kukimbilia kutuhumu watu mitandaoni kwa hisia tu ilhali tayari polisi wanafanya uchunguzi wa maelezo aliyowapa?
Kuna shida gani watanzania wakijua alichofanyiwa?
Ccm nihatari sana