kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Labda alikopa kwa ajili ya kwenda kuanza maisha ya kujiajiri sasa harakati hizo akajikuta analazimika kua mtoro kazini ( japo hiyo siyo sababu ya msingi) na alikoenda napo shughuli zake zikabuma na mikopo nayo ndiyo bado anadaiwa,tena mokopo mingine ni mikopo umiza.Hiyo mikopo aliipeleka wapi? Na bado akawa mtoro kazini hadi kufikia kupewa adhabu hiyo. Hapo TSC kosa lao ni nini? Yaani ukope kope kwa interest zako na bado uwe mtoro kazini halafu uendelee kubembelezwa?