Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Si ndio hapo Mkuu!!!.Walimu waboreshewe maslahi kama wabunge.
Nilisikia report ya katibu mkuu wa tume ya Utumishi wa Walimu kwamba asilimia 50 ya Walimu wamefukuzwa kazi kwa utoro baada ya kuishi ktk mazingira magumu.
Mbona hatusikii idadi hiyo kuacha kazi Benki Kuu, TRA, Uhamiaji, Bandari, Jeshi?