Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

hiyo sekondari ya dunda matokeo yake ya form four na two yakoje???????
 
Sijui hizo pesa kafanyia nini
Kahonga mario.
Mzazi kastaafu katika miaka 40 ya ualimu sikuwai kumuona akikopa.
Tutakunywa maji tutakula kilichopo tutaishi iwavyo.alikua singo maza mdingi alitutoka kitambo.watoto wa4.
Alijiongeza twisheni kwa wahindi wanamfata anawafundisha watoto wao tunaishi.
Huyo utoro na madeni na kupenda kazi ya bar,hatujui labda ni yake ndiko kapeleka hela.
 
Hao walimu ndio wanashabikiaga mbogamboga wakati wa uchaguzi wacha wanyooshwe hadi sehemu za Siri ziwake moto.
 
Ngoja nitoe somo dogo kwa vijana

Unapoanza Kaz unakuwa na malengo mengi hili hata mm lilinikuta

Bas mnashawishiana mnaamua kukopa kuanzisha vijibiashara bila kujua namna ya usimamiz wake

Sasa ukishafungua biashara unasahau Kama Kaz ndyo imekupa huo mtaji nguvu unaelekeza huko unadharau Kaz unakuja kwa kuchelewa kazin

Mabosi zako wakikuonya unawaona wajinga TU Kwan wewe n mjanja unakipato Cha ziada

Unasahau Kama hyo hela n mkopo na bado faida haijarud unaanza kuvimba na kufanya anasa

Ukija kushtuka habar zako zmefika juu zaidi wanaamua kukuonya kwakushusha mshahara kumbuka ulikopa

Unaamua kuwekeza kwenye Kaz biashara inakosa usimamiz na mshahara unapokea nusu jumlisha makato ya mikopo hapo unapokea tsh 34000/= Kama ndugu mwalimu

USHAURI Kabla hujachukua uamuz wa kukopa na kufanya biashara jipange jua namna nzur ya kusimamia biashara zako ili usivuruge ratiba za kazini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa umekopa benk umebakiwa na 1/3, halafu ukapata kosa la kukatwa mshahara na serikali, makato yanapenya tu bila shida. Labda itakuwa huyo Mwl pia alikuwa amekopa zile sehemu za kuacha ATM ndio maana alibakiwa na wlfu 34.

Halafu hiyo 1/3 naona huwa wameiweka kwa ajili ya mabenki, na siyo kwa ajili ya makato ya serikali. Kwa mfano, hata bodi ya mikopo haiangalii 1/3, inapenya tu.

Kama jambo hulijui, penda kutulia halafu utajifunza kwa watu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu
 
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.

Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.

Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.

Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.

Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.

TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.

Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.

Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Amekosea kuacha kazi, angepambana nao wamwondolee adhabu. Lakini hata mkuu wake hana huruma. Angembeba mwalimu japo hata kwa 50,000 kwa mwezi apate kuishi.
 
Kwahiyo kama asingrkuwa kada wa CCM je?
Eti kisa ni kada wa ccm ndio asaidiwe

Hii ya kishenzi sana hii

Vipi angekuwa kada chadema au chaumma.!?

Gaddemitt!!!?

Alikopa ovyo ovyo kwa hiari yake hakulazimishwa.

Sawa mazingira ya kazi magumu unafanya kujinasua na huo ugumu.

Haya maisha tunahitaji akili za ziada kuyashinda.

Aisee!!
 
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.

Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.

Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.

Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.

Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.

TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.

Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.

Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Daah huwezi amini hii hela nimenywea pombe jana Bar tena elfu 36000!!
 
Wa zamani sio siku hizi.
Graduate anavuta sio chini ya laki 8 akiwa na masters anavuta 1.8.
Ukipata Kazi ya ualimu omba vijijini life is simple Hakuna kufatiliana baada ya Kazi piga ujasilimali.
Timiza wajibu wako wasome wasisome shauri yao na wazazi wao ukijifanya unawafatilia fatilia Ili wasome watakuroga.
Anaetaka kusoma mpe ushirikiano.
Wikiendi kuwa bize kwenye mishe zako.
Kqa utafiti wangu walimu wenye maisha mazuri wako mjini sio kijijini

Mjini exposure,mzunguko wa mkubwa hela, inspiration, fursa kibao

Kijijini haya mambo hutoyaona kule utazungukwa na masikini kila kona hela zenyewe hawana.

Walimu wa mjini wana nyumba kali kali wanadrive hata magari nimeshawashudia ila sio kijijini watakuloga ufe mapema.
 
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.

Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.

Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.

Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.

Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.

TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.

Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.

Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Iyo elfu therasini na nne ni pamoja na asilimia za Mama au?
 
Hiyo mikopo aliipeleka wapi? Na bado akawa mtoro kazini hadi kufikia kupewa adhabu hiyo. Hapo TSC kosa lao ni nini? Yaani ukope kope kwa interest zako na bado uwe mtoro kazini halafu uendelee kubembelezwa?
Mbona Jobo hakuonekana bungeni kwa siku nyingi lkn alikuwa bado analipwa tena mkwanja mrefu tu.
 
Back
Top Bottom