Boss maskini
Member
- Jan 16, 2022
- 62
- 71
Kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahonga mario.Sijui hizo pesa kafanyia nini
Anakusoma sasa hivi. Wewe toa na,ba yako, atakutafuta.Kama una namba ya huyo mwalimu, au yupo humu
Naomba nitumie pm, au anitafte pm, nimeguswa sana, nimeguswa Mimi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Pesa ya kodi ya nyumba anayopokea iko wapi?Kajenga nyumba ya kuishi ikaisha!?Sasa ale wapi?
Laana ya ww kufundishwa na hao walimuKumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki, kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.
Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuuUkiwa umekopa benk umebakiwa na 1/3, halafu ukapata kosa la kukatwa mshahara na serikali, makato yanapenya tu bila shida. Labda itakuwa huyo Mwl pia alikuwa amekopa zile sehemu za kuacha ATM ndio maana alibakiwa na wlfu 34.
Halafu hiyo 1/3 naona huwa wameiweka kwa ajili ya mabenki, na siyo kwa ajili ya makato ya serikali. Kwa mfano, hata bodi ya mikopo haiangalii 1/3, inapenya tu.
Kama jambo hulijui, penda kutulia halafu utajifunza kwa watu!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
kunakuwa na moja ya tatu kweli alafu mtu anafanya standing order ya hizo faidika sijui platinumHaiwezekani maana kwenye mfumo wa ulipaji mishahara moja ya tatu hairuhusu.
Amekosea kuacha kazi, angepambana nao wamwondolee adhabu. Lakini hata mkuu wake hana huruma. Angembeba mwalimu japo hata kwa 50,000 kwa mwezi apate kuishi.Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.
Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.
Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.
Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.
TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.
Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.
Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Eti kisa ni kada wa ccm ndio asaidiweKwahiyo kama asingrkuwa kada wa CCM je?
Daah huwezi amini hii hela nimenywea pombe jana Bar tena elfu 36000!!Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.
Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.
Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.
Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.
TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.
Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.
Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Kqa utafiti wangu walimu wenye maisha mazuri wako mjini sio kijijiniWa zamani sio siku hizi.
Graduate anavuta sio chini ya laki 8 akiwa na masters anavuta 1.8.
Ukipata Kazi ya ualimu omba vijijini life is simple Hakuna kufatiliana baada ya Kazi piga ujasilimali.
Timiza wajibu wako wasome wasisome shauri yao na wazazi wao ukijifanya unawafatilia fatilia Ili wasome watakuroga.
Anaetaka kusoma mpe ushirikiano.
Wikiendi kuwa bize kwenye mishe zako.
Iyo elfu therasini na nne ni pamoja na asilimia za Mama au?Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini.
Mwalimu huyo wa kike aliishi maisha magumu sana hapo hapo shuleni ,alikosa mpaka hela ya kula ilimlazimu auze miwa na maembe aliyoyaokota hapo shuleni ili apate pesa ya kula.
Uzalendo ukamshinda baada ya mazingira magumu ya kazi aliamua kuondoka kazini bila ya taarifa kwa muajiri.
Habari nilizozipata mwalimu huyo yupo Mlandizi akifanya kazi ya kuhudumia wateja bar.
TSC mnapotoa adhabu ya kupunguza mishahara kwa walimu mzingatie iwapo kama mtuhumiwa ana mikopo benki, isitoshe adhabu ya kupunguza mshahara ni ya kikatili maana mshahara wenyewe hautoshi hapo hapo mnaupunguza.
Habari nilizozipata huyu mwalimu alikuwa na madeni benki na taasisi za fedha hapo Bagamoyo.
Kutokana na mazingira magumu ya kazi mwalimu huyo kaamua kutelekeza kazi yake.
Ni kiasi gani?Sijui hizo pesa kafanyia nini
Kweli kabisa Mkuu, Maisha hayako fair kabisa.Kweli mkuu, kuna kenge wanazingua sana katika nchi hii lakini hamna anayewagusa.
Nchi ni yao, serikali ni yao, ila kila jambo lina mwisho wake.
Mbona Jobo hakuonekana bungeni kwa siku nyingi lkn alikuwa bado analipwa tena mkwanja mrefu tu.Hiyo mikopo aliipeleka wapi? Na bado akawa mtoro kazini hadi kufikia kupewa adhabu hiyo. Hapo TSC kosa lao ni nini? Yaani ukope kope kwa interest zako na bado uwe mtoro kazini halafu uendelee kubembelezwa?