Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

Kwahiyo maslahi yakiboreshwa itakuwa sio kazi yenye laana tena?
 
Daah Sina msaada wowote zaidi ya kumpa pole.
Wenye mamlaka watamsaidia
 
Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Wakubwa wanapotenguliwa ni marupu rupu tu hupungua, lakini mshahara hauguswi, hata kama alikuwa kwenye nafasi aliyo kuwa hana sifa nayo.
 

Hebu tutajie mshahara wake halisi, kabla ya mikopo na kabla ya kukatwa mshahara...
 
Kumbuka huyu mwalimu alikuwa na madeni lukuki,kabla ya adhabu hiyo alikuwa na makato mengi.

Kazi ya ualimu ina laana, maana Walimu wengi wanaishi maisha magumu.
Kumbuka ndio wasimamizi wa chaguzi za mizengwe hapa nchini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…