TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Mkoa wa Geita ula laana au? Mbona matukio kila siku?


Lakini pia Igaka si ipo Mwanza? Nadhani ndio jirani na Ibanda mpaka wa Mwanza na Geita.
 
Mikoa ya kanda ya ziwa ukatili umezidi!
 
Ole wangu maskini mimi, ni nani atakayeniokoa na mwili huu wa mauti?

Yani nikiona habari za namna hii huwa nayatathmini kwa upya maisha yangu, kwamba death is certain, na ipo siku na mimi nitakufa.

Lakini tena najiuliza, pamoja na hizi dhambi zangu kwanini Mungu bado ameniacha hai? Kwasababu haimaanishi kwamba wanaotangulia mbele ya haki ni wale wakosefu tu. Inawezekana Mungu ananivumilia ili nimrudie yeye...


Eeh Mwenyezi Mungu uzidi kunirehemu. Niondolee kabisa hiki kiburi cha uzima. Amen.
 
Picha linaanza kwenye picha hapo marehemu ana majeraha mkono mmoja naona ana pamba zimeshikana na ngozi.

Ila hawa watu wa geita nahisi sio wazima. Maana wana visirani na tabia za ukatili sana pale wanapotendewa ndivyo sivyo. Unajua kudhuru mtu kwa kutumia silaha inataka ujitoe ufahamu kabisa.



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu anawez hata choma wanafunzi moto, waalimu wawe wanapimwa akili na kufanyiwa vetting
 
Hebu kelele hapo, unajiliza liza nini utadhani mtoto wa kike. Mwanaume unatakiwa kusema "aiseeeeee dah" halafu basi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
hawana maadili serikali imeshindwa kudhibiti ubora wa waalimu, yaani wanafanya bora liende...wamechoka sana
 
Hii inaitwa mbwa kala mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…