TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Kwa hiyo baada ya tukio ataanza kupendwa na walimu wenzake? Halafu Geita ina matukio ya ajabu ajabu na watu wa huko baadhi ni wakatili sana kama yule mwamba.
 
Baada ya kupata picha ndo inakuwaje madam wangu hahaha
Acha tu maana shem wako nae anaendeshwa na jamaa wa huko mpaka tunashangaa ana chuki ya ninu, waza mtu anamaliza mkataba anapewa mwinginr afu yeye anahoji kwan nini upewe anaandika barua juu asipewe na hawajawahi kuzungumza zaidi ya salamu maana ni department toafut hata wiki inaeza isha wasionane lkn jamaa sijui hata anataka nn
 
Daah inasikitisha Sana aisee,Yani kuna wa2 cjui wanajikuta Nani hapa duniani,kisa ana anakacheo Fulani basi anajiona Mungu mtu,walikuwepo majabari na waliondoka hapa duniani sembuse yeye? Ovyo Sana watu kama hawa
 
Daah inasikitisha Sana aisee,Yani kuna wa2 cjui wanajikuta Nani hapa duniani,kisa ana anakacheo Fulani basi anajiona Mungu mtu,walikuwepo majabari na waliondoka hapa duniani sembuse yeye? Ovyo Sana watu kama hawa
Yan mtihani , allah amuongoze kutwa kuwafanyia wenzie figisu waachishwe kazi yana hadi walinzi, unachoka ana hulka ya aina gani
 
Hawa lazima tu ni uvccm. Kwa vyeo kutoana roho ni kitu kidogo sana.
 
Mhhh
 
Duuh Tanzania kama tupo Athlone Cape Town aisee tena huko pana West Coast na East Coast ukiwachanganya na hao PAGAD ndio kabisaa eneo halitawaliki...
 
Ingawa viongozi wanalipigia kelele suala la ukabila, ila Kuna baadhi ya Kanda ndani ya nchi yetu ukabila upo Kwa kiasi fulani
Kweli kabisa chief

Na hapo tushukuru muasisi WA Taifa hili Kwa kutokomeza ukabila na kutuleta pamoja kinyume cha hapo sijui ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…