Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo baada ya tukio ataanza kupendwa na walimu wenzake? Halafu Geita ina matukio ya ajabu ajabu na watu wa huko baadhi ni wakatili sana kama yule mwamba.
Geita. Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza.
“Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo,” amesema Kamanda
Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea.
“Uchunguzi wa tukio hilo unaendelea mwalimu amekamatwa na amekiri na sababu anadai aliona walimu wenyeji wanamchukia na wamemtenga na ndio sababu ya kutengeneza nia ya kumuua huyo mwalimu menzake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wakati mwingine huwa kama namuelewa hivi mpwayungu village kuwa walimu Wana matatizo Sana!
Basi Wana ubaguzi Fulani hiviKanda Ile sitosahau..... Kuna mkoa Fulani nilikuwa napiga kazi wakawa wananiita Mnyangara(mgeni) ndani ya nchi yangu
Umenipa picha aiseeSo sad!! Ninafanya kazi na wakurya Hawa jamaa inabidi uishi nao kwa akili sana( haihusiani na mada tajwa)
Baada ya kupata picha ndo inakuwaje madam wangu hahahaUmenipa picha aisee
Acha tu maana shem wako nae anaendeshwa na jamaa wa huko mpaka tunashangaa ana chuki ya ninu, waza mtu anamaliza mkataba anapewa mwinginr afu yeye anahoji kwan nini upewe anaandika barua juu asipewe na hawajawahi kuzungumza zaidi ya salamu maana ni department toafut hata wiki inaeza isha wasionane lkn jamaa sijui hata anataka nnBaada ya kupata picha ndo inakuwaje madam wangu hahaha
Daah inasikitisha Sana aisee,Yani kuna wa2 cjui wanajikuta Nani hapa duniani,kisa ana anakacheo Fulani basi anajiona Mungu mtu,walikuwepo majabari na waliondoka hapa duniani sembuse yeye? Ovyo Sana watu kama hawaAcha tu maana shem wako nae anaendeshwa na jamaa wa huko mpaka tunashangaa ana chuki ya ninu, waza mtu anamaliza mkataba anapewa mwinginr afu yeye anahoji kwan nini upewe anaandika barua juu asipewe na hawajawahi kuzungumza zaidi ya salamu maana ni department toafut hata wiki inaeza isha wasionane lkn jamaa sijui hata anataka nn
Yan mtihani , allah amuongoze kutwa kuwafanyia wenzie figisu waachishwe kazi yana hadi walinzi, unachoka ana hulka ya aina ganiDaah inasikitisha Sana aisee,Yani kuna wa2 cjui wanajikuta Nani hapa duniani,kisa ana anakacheo Fulani basi anajiona Mungu mtu,walikuwepo majabari na waliondoka hapa duniani sembuse yeye? Ovyo Sana watu kama hawa
Hawa lazima tu ni uvccm. Kwa vyeo kutoana roho ni kitu kidogo sana.Geita. Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani.
![]()
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza.
“Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo,” amesema Kamanda Jongo.
Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea.
“Uchunguzi wa tukio hilo unaendelea mwalimu amekamatwa na amekiri na sababu anadai aliona walimu wenyeji wanamchukia na wamemtenga na ndio sababu ya kutengeneza nia ya kutenda tukio hilo,” amesema.
Credit: Mwananchi
MhhhGeita. Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani.
![]()
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza.
“Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo,” amesema Kamanda Jongo.
Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea.
“Uchunguzi wa tukio hilo unaendelea mwalimu amekamatwa na amekiri na sababu anadai aliona walimu wenyeji wanamchukia na wamemtenga na ndio sababu ya kutengeneza nia ya kutenda tukio hilo,” amesema.
Credit: Mwananchi
Ingawa viongozi wanalipigia kelele suala la ukabila, ila Kuna baadhi ya Kanda ndani ya nchi yetu ukabila upo Kwa kiasi fulaniBasi Wana ubaguzi Fulani hivi
Kweli kabisa chiefIngawa viongozi wanalipigia kelele suala la ukabila, ila Kuna baadhi ya Kanda ndani ya nchi yetu ukabila upo Kwa kiasi fulani