Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Ni sawa na dhambi ya USHOGA

MAANA MUNGU ANAIITA DHAMBI YA USHOGA machukizo

Ukija kula najisi anakuita MACHUKIZO

HALAFU CHA AJABU ,anasema siku ya hukumu wala nguruwe na machukizo mengine watakaouwawa WATAKUWA WENGI,
Sasa unakuta muislamu / msabato Hali nguruwe ila anafanya uzinzi Sasa hapo work done is equal to zero
 
WEWE KWELI HAMNAZO

MTU AKIAMBIWA UKWELI , NI DHAMBI?

MIMI NIMEONGEA KILICHO DHAHIRI

NIMEONGEA DHAHIRI KUWA WALA NGURUWE KAMA KINA MWAKASEGE SEHEMU YAO NI ZIWA LA MOTO ,

KWA MUJIBU WA BIBLIA,

UNASEMA NAJIHESABIA HAKI, HUONI NAKUKUMBUSHA HATA WEWE

HEBU SOMA HAPA KWA MAKINI ,KUHUSU SIKU YA HUKUMU/KIAMA ITAKAVYOKUWA

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.

16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
Mbona hamna palipoandikwa Wala nguruwe wataenda motoni
 
Nililitegemea hili kutoka kwako, kwamba wewe ni wale waumini ambao hufanya tafakari ya Biblia kwa kusoma maneno kama yalivyo bila kuzingatia mambo kadhaa kama muktadha uliotumika kuandika, akina nani walikua walengwa, wakati gani etc.

Lakini pia wewe ni wale waumini ambao huchagua maneno ya kuyachukua na kuyaacha kwenye Biblia, wale waumini ambao wanasemaga hili hatulitaki ila hili twendeni nalo.

Mfano mzuri tu ninyi wasabato mnaamini katika kutokutumia kilevi, lakini kwenye Biblia mnayotumia kuna mistari kadhaa inayoonyesha kwamba kileo ni kitu kizuri tu hakina tatizo tunaweza kunywa, ok..mbona huwa hamtumii hiyo mistari kunywa vileo? The answer is simple tu hapa chini;

Brainwash mliyoipata kwa mama yenu Hellen G White, kwamba kwenye Biblia tukazie haya mawili, Siku ya jumamosi ndiyo siku ya kuabudu, kutokula nguruwe. Ila sisi hatuna tatizo na nyie...mna haki ya kuamini chochote, wala hatutawaita majina ya kuudhi, mna haki kabisa

Hivi tukirudi katika mistari uliyoweka hapo juu tukaamua kutafasiri kila kitu kama kilivyo hapo unaweza leta majibu yenye mashiko?

Mfano mdogo tu, hayo magari ya vita atakayokuja nayo Bwana ni yapi? Ni magari gani hayo? Sasa hivi yapo wapi?, Kwahiyo atakuja kufanya vita? Kupigana na akina nani na hayo magari ya vita? Si tunaamini Bwana ni Mungu mwenye uweza sana kiasi akiamua kutuangamiza wote kwa neno lake tu anaweza? Sasa kwanini aje kufanya vita kwa kutumia magari...kufanya vita na viumbe aliowaumba yeye mwenyewe?

Ukielewa muktadha wangu hapo juu utaelewa kwamba Biblia haitafasiriwi hivi hivi tu kama unavyoamua wewe ama ilivyoandikwa, it is much more than that bro.
Wewe kweli narudi hamnazo,

Hapo kuna muktadha gan ambao unawaruhusu mle nguruwe?

Mnataka kujifanya kila andiko lina muktadha

HAPO MUNGU ANAZUNGUMZIA THE NEXT, SIKU YA HUKUMU, au MUNGU NI MUONGO?

AU MUNGU NI KIGEUGEU, ? LINI MUNGU ALIAIHIRISHA HIYO HUKUMU KWA WALA NGURUWE?
 
Inaendelea leo pia viwanja vya Tanganyika Packers,hakika kijana si ya kukosa
NIACHE KWENDA KUANGALIA NORTH LONDON DERBY

NIKAMSIKILIZE MWAKASEGE akidanganya watu kwa maneno matamu, ili mwisho wa SIKU AWAKOMBE SADAKA ,

HUYO HANA TOFAUT NA WALE WANAOZUNGUKA WANAKUPIGA MANENO MATAMU, KUHUSU VYAKULA VYA ASILI NA VIWANDANI, MWISHO WANAKUUZIA DAWA YA MLONGE KWA 10000
 
Sasa huwa nauliza hao mapadri hawatendi dhambi??? Ila wakatoliki Sheria zao zinashtusha sana
Wskatoliki wamefungwa hawajui wafanyalo,wamepofushwa ,wanaabudu sanamu ukiwaambia wanakwambia wana iheshimu.

Wanamwomba Mama yake Yesu(Maria-Si bikra maana baada ya kumzaa Yesu aliolewa na kuwa na watoto wengine) na Yesu alisema mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi. Wenzangu katoliki wanapitia kwa Maria badala ya Yesu
 
Huwa wanasujudia sanamu nimeshashuhudia mkoa flani,wao wanasema kuwa wenyewe ndio kanisa mama lilojenga misingi ya makanisa mengine
 
NIACHE KWENDA KUANGALIA NORTH LONDON DERBY

NIKAMSIKILIZE MWAKASEGE akidanganya watu kwa maneno matamu, ili mwisho wa SIKU AWAKOMBE SADAKA ,

HUYO HANA TOFAUT NA WALE WANAOZUNGUKA WANAKUPIGA MANENO MATAMU, KUHUSU VYAKULA VYA ASILI NA VIWANDANI, MWISHO WANAKUUZIA DAWA YA MLONGE KWA 10000
Kila mtu amepewa utashi wa kuchagua mema au mabaya, uzima au mauti sasa Wakristo wafuasi wa Yesu sio wafuasi wa dini tumepewa uwezo wa kupima roho zote zinazomhubiri Kristo na kuzitambua ikiwa zinatoka kwa Mungu au la, so maamuzi yetu hayatokani na nyama na mwili pekee bali na Roho pia,so kila mtu achague njia yake ila mwisho wa siku sote tutasimama na kupimwa mbele kazi zetu.
 
Naona ufahamu wako wa biblia upo ki SDA zaidi sikushangai

Hakuna mstali unaomkataza mkristo asile nyama ya nguruwe bro

NDIO NYIE ANAWADANGANYA ANAWAFUNDISHA BIBLIA?

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.

16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.

SOMA MSTARI WA 18 HIYO ITAKUWA SIKU YA HUKUMU
 
Hujui maana ya hiyo mistali so keep quiet bro
WEWE KWELI HAMNAZO

MTU AKIAMBIWA UKWELI , NI DHAMBI?

MIMI NIMEONGEA KILICHO DHAHIRI

NIMEONGEA DHAHIRI KUWA WALA NGURUWE KAMA KINA MWAKASEGE SEHEMU YAO NI ZIWA LA MOTO ,

KWA MUJIBU WA BIBLIA,

UNASEMA NAJIHESABIA HAKI, HUONI NAKUKUMBUSHA HATA WEWE

HEBU SOMA HAPA KWA MAKINI ,KUHUSU SIKU YA HUKUMU/KIAMA ITAKAVYOKUWA

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.

16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
 
Tutakula kitimoto na mbinguni tutaingia kwa kumwamini Yesu tu.

Endelea kupata tabu muabudu siku
Wewe kweli narudi hamnazo,

Hapo kuna muktadha gan ambao unawaruhusu mle nguruwe?

Mnataka kujifanya kila andiko lina muktadha

HAPO MUNGU ANAZUNGUMZIA THE NEXT, SIKU YA HUKUMU, au MUNGU NI MUONGO?

AU MUNGU NI KIGEUGEU, ? LINI MUNGU ALIAIHIRISHA HIYO HUKUMU KWA WALA NGURUWE?
 
Dah alhamisi nilikua kwenye basi kutoka iringa kuelekea dar kwajili ya hii semina nilitamani sana kuudhuria lkn tukapata ajari pale ruaha Dah ikanibidi tu nilidi zangu iringa maana nilitoka mzima bila jeraha lolote na safari nka ghairi namshukuru Mungu kwa uzima maana kuna watu walipoteza maisha katki ajari ile Dah hope mmeinjoy mafundisho. ..View attachment 952584
Pole ndugu.Mungu mwema amekuokoa.
 
Tutakula kitimoto na mbinguni tutaingia kwa kumwamini Yesu tu.

Endelea kupata tabu muabudu siku
Labda mbingu ya mwakasege

Ila MBINGU YA ALIYESEMA HAYA UTAISIKIA TU

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.

16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
 
Tunaingia mbinguni kwa kumwamini Yesu pekee na wala si kwa kujitenga na aina flani ya vyakula

Utapata taabu sana kwa Mwakasege, mwanaume ataendelea kupiga injili wewe usipookpka wataooka wanao
Labda mbingu ya mwakasege

Ila MBINGU YA ALIYESEMA HAYA UTAISIKIA TU

ISAYA 66

15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.

16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.

18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
 
Dah alhamisi nilikua kwenye basi kutoka iringa kuelekea dar kwajili ya hii semina nilitamani sana kuudhuria lkn tukapata ajari pale ruaha Dah ikanibidi tu nilidi zangu iringa maana nilitoka mzima bila jeraha lolote na safari nka ghairi namshukuru Mungu kwa uzima maana kuna watu walipoteza maisha katki ajari ile Dah hope mmeinjoy mafundisho. ..View attachment 952584
Mtumishi unashukuru kutoka mzima? Bado hujajiandaa kuurithi ufalme wa mbinguni? Kama upo tayari kwanini unaogopa kufa wakati unajua kifo ndio njia pekee ya kuingia kwenye ufalme wa mbingu. Jitafakari
 
Back
Top Bottom