Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Dah alhamisi nilikua kwenye basi kutoka iringa kuelekea dar kwajili ya hii semina nilitamani sana kuudhuria lkn tukapata ajari pale ruaha Dah ikanibidi tu nilidi zangu iringa maana nilitoka mzima bila jeraha lolote na safari nka ghairi namshukuru Mungu kwa uzima maana kuna watu walipoteza maisha katki ajari ile Dah hope mmeinjoy mafundisho. ..
IMG_20181129_132443.jpg
 
Huyu baba namkubali sana.huwa ananipa hamasa ya kufahamu Zaidi bible
Bado biblia hujaijua , zaidi anawazubaisha kwa maneno matamu

Na kuwapa vitisho msipokuwa watoaji wa zaka na sadaka

Kama anawafundisha vzr biblia msingekuwa wala nguruwe, na waasi wa amri za Mungu

Sema anawapa hamasa ya kutoa zaka na sadaka huku akiwatisha kwa Mistari ya AGANO LA KALE

ambalo pia linakataza kula nguruwe, kenge na mbwa, ila Huyo huyo mwakasege anatafuna nguruwe .
 
Acha uzushi ndugu.
 
Yote uliyoandika ni uzushi mtupu , ole wako kwa kumzushia mtumishi wa Mungu.View attachment 952711
Onesha huo uzushi, hiv kwann mnakuwa brainwashed na hawa makanjanja?

Huyu anafanya biashara nje ya kkkt , ndio maana anakusanya sadaka , na analipwa kwa hayo mabonanza anayofanya,

Yaani hiyo ndio biashara yake, ndio maana anawahubiria habari laini laini, na vitisho kuwa mtaenda moton msipokuwa Watoaji wa zaka na sadaka
 
Umejaa wivu na husuda utadhani wewe ndip umetishiwa ili utowe sadaka!!

Kwa taarifa yako "hakuna dini isiyopokea sadaka*

La kufurahisha zaidi ktk ukristo baraka huambatana na mtoaji atoaye kwa hiari yake mwenyewe wala sio kwa kulazimishwa .

Hivyo vitisho unavyomsingizia mwl Mwakasege kwamba huwatishia watoe sadaka , huo ni mtazamo wako wa kipepo.

Acha wivu ndugu.
 
Back
Top Bottom