Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Mwalimu C. Mwakasege ktk semina kwa vijana

Acha uongo wewe, mbona somo la ndoto na maana zake hujalitaja!!

Mwl anayo .,..Naona humjui huyu mwalimu
Mwakasege ni tapel kama wengine, ila sema yy ana staili yake yakupiga hela

Yaan tunasema ana melody au tune yake katika upigaji
 
Masomo ya C mwakasege ni Yale Yale
Hana jipya Masomo yake ni
# mzaliwa wa kwanza
#malango
#Sadaka
#kukusanya hela za kwenda Israel
Tulisha choka
Mpigaji huyo mwakasege

Kwanini asiyafundishie hayo masomo KKKT ,na sadaka wachukue UONGOZ wa kkkt?

Yaan hapo mwakasege target yake ni mpunga, hana lolote

Sijui mazuzu wanaobebwa ,
 
Mpigaji huyo mwakasege

Kwanini asiyafundishie hayo masomo KKKT ,na sadaka wachukue UONGOZ wa kkkt?

Yaan hapo mwakasege target yake ni mpunga, hana lolote

Sijui mazuzu wanaobebwa ,
Lakini pia ana mikoa take anayo terget ,kuna mikoa hata umuite VP haji.Ayse huyu jamaa ni hatari kwa taiga,Lakini kitu kingine ana ubinafisi sana kwenye huduma yake hakuna mwingine anae simama kuhubili ,yani Leo akifa Huduma ya Mana inakufa.
 
Condition kama hizo ndio wenye jicho la tatu, tunatambua huyu ni mpigaji kama kina mzee wa Upako

Maana mzee wa upako hawez kumpa mtu mwingine ahubir pale mbele, maana huyo mtu atapata zile hela za kutuzwa pale mbele

Hawa ni wapigaji, ila wana staili tofauti ila wengi wameshakuwa brainwashed hawaelewi chochote
 
Ndio hivyo mkuu
 
Kuzaliwa mara ya pili ndio kuzaliwa gani? (Hili swali nimekutega, usijichanganye)
Maana ya kuzaliwa mara ya pili Yesu alifafanua vizuri baada ya kuulizwa swali na Nikodemo , ni swali kama ulilouliza wewe

Soma Yohana 3:4-10
Kwa kifupi ni kuzaliwa kwa Maji na Roho (mstari wa 4)

Ila usome sura yote ya 3 ili utolewe tongotongo kama huyu teacher wa kiyahudi alivyotolewa tongotongo na Yesu hadi akajua maana ya kuzaliwa mara ya pili
 
Back
Top Bottom