1. Mungu hayupo mahala popote, hadithi za uwepo wake ni za kutunga, hakuna kitu kama hicho na wala hakijawahi kuwepo mahala popote pale.
2. Dai gani? Rudia kuulizwa swali, jenga mantiki maana swali lako halina maana.
3. Kutaja kitu hakumaanishi kua kipo, tunamtaja Isaack Newton kila mara kwenye masomo ya sayansi hasa fizikia, kwani Newton yupo?. Mungu ni neno la kufikirika, tunalitaja hakuna maana kua hicho kitu kipo. Mungu haexist kwa kutajwa, anaexist kwa kufanya yale ambayo sifa za hilo jina mungu linadai anazo, hajawahi kufanya chochote hvyo hayupo. Lakini huyo Newton niliemtolea mfano aliishi na watu walimuona, wewe mungu umewahi kumuona?
4. Nimekwisha kutajia na nikakupa mifano.
5. Mungu au kitu kinaitwa mungu hakijawahi kuwepo. Sifa zinazotajwa kua ni za mungu au kitu kinaitwa mungu hazijawahi kua kwa kitu chocjote hvyo hicho kitu hakipo maana hakijawahi kujionyesha kua kipo na kikaonyesha hizo sifa wanazodai kinacho. Ukisema kuna jiwe linatembea, alafu hakuna jiwe lolote lilishawahi kutokea au kujitokeza likiwa linatembea maana yake hilo jiwe halipo.
6. Uliza swali lingine.