Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Mbona wewe ni mkatoliki uliyekua brainwashed kwamba ukiwa na dhambi uende kwa mwanadamu mwenzako (padri, bruda, etc) ukaziungame kwake then umtoe walau 'takrima' ndogo then utasameheka na wewe ulivyo mweupe kichwani ukaamini....mbona hujabugudhiwa na mtu? Tumenyamaza tu wala hatuna tatizo na wewe.Nenda ukawe brainwashed kwamba ukiona hujafanikiwa katika mipango au unakutana na challenges basi ujue ina uhusiano na mikosi ya wazazi wako,jamaa na ndugu waliopita.
Kuna hasara yoyote unapata mtoa mada akiwa brainwashed? Maana i am sure yeye hapati hasara yoyote wewe kuwa brainwashed kwamba ukifariki leo katika dhambi 'eti uliowaacha duniani wakikuombea utaenda peponi'
Naamini kabisa mtoa mada hasumbuliwi na fact kwamba wewe ni mweupe mno kichwani kiasi cha kuwa brainwashed katika vitu vidogo tu vya kawaida