Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

hapo sasa nimeelewa Mkuu,nitamsikiliza nikiwa na bando.kama amesema hivo ni sahihi

Ningekuungia bando mkuu, kwenye ile huduma muunganishie na mwenzio.

Lakini sasa yasiojulikana nayo yameenea kila kona na vile vi ID vyao uchwara. Kumechafukwa!

Usoni kama watu.

Kiukweli: Lijenje, Ben, Azory wanao bila shaka hai.
 
Ningekuungia bando mkuu, kwenye ile huduma muunganishie na mwenzio.

Lakini sasa wasiojulikana nao wameenea kila kona na vile vi ID vyetu. Kumechafukwa!

Usoni kama watu.

Kiukweli Lijenje, Ben, Azory wanao.
😂 hahhah ,wasiojulikana hawapo siku hizi bana,mwaka jana nilikutana na msela fulani kwenye kivuko cha kigongo busisi akawa ananiuliza maswali ya mitego kuhusu jiwe nikajiongeza huyu ni afisa kipenyo
 
😂 hahhah ,wasiojulikana hawapo siku hizi bana,mwaka jana nilikutana na msela fulani kwenye kivuko cha kigongo busisi akawa ananiuliza maswali ya mitego kuhusu jiwe nikajiongeza huyu ni afisa kipenyo

Uzuri ni kuwa hatishiki mtu
 
Sawa. Ingawa atafungwa tu kwa sababu uliona matokeo ya kwenye kesi ndogo mlivyopigwa KO za maana na PGO zenu.

Kwani kuna kipi kipya?



Uliwahi kuona tuna matumaini, kushangilia au masikitiko yatokanayo na haramu?

Ndiyo ulio msingi wa hoja ya Mwalimu Lwaitama.

Wewe huoni hivyo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katiba mpya itazuia prosecution side kutokuthibitisha makosa ya mtuhumiwa wa ugaidi pasipo kuacha shaka?

So far hata pakiwa na katiba mpya haitazuia mahakama kumtia hatiani Mbowe kama atakutwa na hatia mkuu.

Ukizingatia kuna mshitakiwa pale alikiri kutumwa na Dj Mbowe kutekeleza kosa la ugaidi. So kazi mnayo.
 

Pakiwa na katiba mpya patakuwa na uhuru wa mahakama na bunge. Hapa kutakuwa na nafasi ya mihimili kutoa sauti zake kamili na kwa uhuru.

Kwani hukumu ya mapingamizi ya juzi imetolewa kwa kutumia ushahidi upi?

Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wa upande wa mashtaka ndiyo ulio bora?

Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wote wa upande wa utetezi ni bogus na unastahili kutupiliwa mbali?

Au jaji ni sehemu ya upande wa mashtaka kwamba pia ana na ushahidi mwingine ambao haukuwekwa wazi mahakamani?

Au jaji ni malaika kuweza kubaini ni ushahidi upi wa kweli au wa uongo kwa kusikiliza tu, au hata kwa kupitia majumuisho 2 yenye kukinzana 100%?

Si kweli kuwa hizi ni figisu za kisiasa tu na mkono wa Serikali ndani yake ni kama wote?
 
Mara Mbowe sio gaidi, mara Rais Samia anaweza kufuta hio kesi. Kama kweli sio gaidi, anatakiwa kujiamini kwa kufahamu kwamba atashinda kesi
 
Ni hivi, kuna mtu anaitwa DPP, katiba imempa mamlaka ya kufuta kesi yeyote bila kulazimika kutaja sababu. Hii sio kuingilia mahakama, hili lipo kwa mujibu wa sheria.
 

Kuna wakati mtu hata akiandka upuuzi, lakini akaandika kwa Kiingereza, basi huwa anaamini ameandika hoja ya msingi.

Kwa ufupi, siku zote anayemshtaki mtu yeyote, ana uwezo wa kuachana na kesi. Anachofanya ni kuitaarifu tu mahakama.

Samia ndiye aliyemkamata Mbowe, ndiye aliyembambikizia mashtaka, na ndiye anayemshtaki. Akisema hataki kuendelea na hayo mashtaka aliyombambikia, hakuna atakayeendelea nayo.

Mbowe yupo ndani anateseka kwa sababu ya matakwa ya Samia.
 
Hivi na kuteua majaji sio kuingilia uhuru wa mahakama?
 
Mara Mbowe sio gaidi, mara Rais Samia anaweza kufuta hio kesi. Kama kweli sio gaidi, anatakiwa kujiamini kwa kufahamu kwamba atashinda kesi

Kama katiba inaruhusu uwepo mhimili uliojichimbia zaidi, kesi za kubambikiziana na hukumu za kutengeneza, huoni huu ni msimamo murua zaidi:



Hata darasani si lazima kwa wanafunzi wote kumwelewa Mwalimu Lwaitama 😁😁!

Mengine yote uliyoandika hayahusiki kwani:

Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

Kudai mabadiliko ya katiba katikati ya madwalimu, kuna gharama zake zinazojulikana. Kwani nani hayajui hayo akiwamo Mh. Mbowe?

Ungekuwa umemwelewa Mwalimu Lwaitama ungemhurumia Samia. Njia aliyochokua itamwacha na aibu ikimgharimu, usijedhani sisi manabii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…